Nyumbani Football Europa League

Europa League

Rashford Ampa Pole Smalling Kwa Kuvamiwa na Wezi

Marcus  Rashford ameonesha sapoti yake kwa Chris Smalling baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United kuripotiwa kuwa muhanga wa uvamizi wa silaha. Smallimg na familia yake walisema walikuwa nyumbani huko Appia Anticia katika wilaya ya Roma pale wanaume...

Aubameyang Anajisikia Poa Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Nahodha wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang "anajisikia vizuri" baada kurejea nyumbani akitoka Hospitali alikokuwa amelazwa kwa siku mbili sababu ya kuugua Malaria, meneja Arteta amethibitisha. Starika huyo wa Gabon hakuwa kwenye kikosi cha Arsenal katika michezo yao miwili ya mwisho na...
Kudela Akutana na Rungu la UEFA, Kamara Nje Mechi 3.

Kudela Akutana na Rungu la UEFA, Kamara Nje Mechi 3.

Mlinzi wa Slavia Prague Ondrej Kudela amefungiwa kutocheza mechi 10 kwa kumfanyia ubaguzi wa rangi Glen Kamara, lakini kiungo wa Rangers naye amefungiwa mechi tatu kutokana na kitendo chake cha kujibu kwa lugha mbaya. Wawili hao walitofautiana mwishoni mwa mchezo...
Kudela Afungiwa Mechi Moja na UEFA Sababu ya Ubaguzi

Kudela Afungiwa Mechi Moja na UEFA Sababu ya Ubaguzi

Ondrej Kudela amepewa adhabu ya kufungiwa mechi moja na UEFA wakati baraza linaloongoza lilipomfungulia kesi kufuatia madai ya kumbagua Glen Kamara wa Rangers. Baada ya uchunguzi, Mamlaka ya Udhibiti, Maadili na Nidhamu ya UEFA ilithibitisha siku ya Jumanne kuwa imemsimamisha...

Ibrahimovic Akataa Kuongelea Hatima Yake Milan

Zlatan Ibrahimovic amekataa kuzungumzia hatima yake baada ya klabu yake kutolewa katika mashindano ya Europa League na timu ya Manchester United siku ya Alahmisi. Ibrahimovic alitokea benchi katika dakika ya 65 lakini hakuweza kuisadia Milan kupata ushindi. The Rossoneri ilipoteza...
Arteta: Arsenal Haijakata Tamaa Kumaliza Nne za Juu

Arteta: Arsenal Haijakata Tamaa Kumaliza Nne za Juu

Meneja wa Arsenal Mikel Arteta amesema kwamba bado wataolea macho kumaliza katika nafasi nne za juu ili waweze kufuzu kushiriki Champions League msimu ujao hiyo ni baada ya kupata ushindi katika mchezo wa London Derby dhidi ya Totttenham siku...
Europa League: Man United Kuwakabili Milan 16 Bora

Europa League: Man United Kuwakabili Milan 16 Bora

Manchester United watamenyana na AC Milan katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Uropa, wakati Arsenal wamepangwa na Olympiacos, na Tottenham watachuana na Dinamo Zagreb. Rangers ya Steven Gerrard lazima imshinde Slavia Prague ili kuongeza muda wa safari zao...

Aubameyang na Saka Waiokoa Arsenal Europa League

Pierre-Emerick Aubameyang na Bukayo Saka wameuokoa msimu wa Arsenal baada ya kupata ushindi katika michuano ya Europa League kwa kuiondoa timu ya Benfica kwenye mashindano hayo. Arsenal wamesonga mbele hatua inayofuata ya 16 bora kwa jumla ya magoli 4-3 baada...

Mourinho Amsifia Delle Alli kwa Kiwango Kizuri.

Delle Alli alifunga bao zuri la kichwa wakati Tottenham ilipoicharaza Wolfsberger 4-0 katika michuano ya Europa League nakujihakikishia hatua ya 16 kwa kuiondoa timu hiyo ya Australia kwa jumla ya magoli 8-1 siku ya Jumatano. Ulikuwa msimu mgumu kwa Delle...
Aubameyang Aomba Radhi kwa Kupata Sare na Benfica.

Aubameyang Aomba Radhi kwa Kupata Sare na Benfica.

Pierre-Emerick Aubameyang alikosa moja ya nafasi nyepesi ambayo ahajawahi kuipata katika mchezo waliyo kwenda sare ya 1-1 na Benfica katika Europa League siku ya Alhamisi akiunganisha mpira kwenye wavu kipindi cha kwanza nje ya box ya yadi sita. Fowadi huyo...

MOST COMMENTED

Zidane Ateswa na Majeruhi Real Madrid.

  Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amekuwa katika wakati mgumu baada ya kuwakosa wachezaji zaidi ya nusu wa kikosi cha kwanza kwa majeraha katika...
argentina-team

HISTORIA KUJIRUDIA?

HOT NEWS