FA Cup

Uchambuzi FA Cup: Chelsea vs Manchester City

FA Cup ni michuano mikubwa nchini Uingereza ambapo Arsenal ndiyo vinara wa kutwaa mara nyingi kombe hilo wakiwa wameshinda mara 14 wakifuatiwa na Man United mara 12 na watatu ni Chelsea ambao wameshinda mara 8, leo tarehe 17 April...

Mashabiki 8,000 Kuhudhuria Fainali ya Kombe la EFL

Mashabiki 8,000 wataruhusiwa kuhudhuria kwenye fainali ya kombe la EFL mwezi huu kati ya Tottenham dhidi ya Manchester City ikiwa kama sehemu ya hafla ya majaribio iliyopangwa na Serikali. Mchezo huo ulikuwa uchezwe mwezi Februari 28 lakini ulisogezwa mbele mpaka...
Mashabiki kurudi uwanjani Nusu fainali fa

Mashabiki Kurudi Uwanjani Nusu Fainali Kombe la FA

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA kati ya Leicester na Southampton tarehe 18 baadae mwezi huu unatazamiwa kuwa kama jaribio la kuangalia uwezekano wa mashabiki kurudi uwanjani. Nusu fainali hiyo itachezwa katika uwanja wa Wembley ambapo wataruhusiwa tu...

Chelsea Yaunga Tela Kuitaka Saini ya Wijnaldum

Chelsea wameingia katika kinyang'anyiro cha kumtaka Georginio Wijnaldum ambaye yupo kwenye mipango ya Barcelona katika dirisha la kiangazi. Kiungo wa Liverpool amehakikishiwa kuungana na mtaifa mwenzake Ronald Koeman huko Camp Nou baada ya mkataba wake kufika tamati. Jurgen Klopp alikuwa akiamini...
Solskjaer Athibitisha United Ipo Kwenye Mazungumzo na Cavani

Solskjaer Athibitisha United Ipo Kwenye Mazungumzo na Cavani

Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kwamba klabu ipo kwenye mazunguzo ya mkataba Edinsson Cavani. Cavani alijiunga na Manchester United kwa uhamisho huru kwa dili ya mwaka mmoja mwanzoni mwa msimu huu na mchezaji huyo wa miaka 34...
Uchambuzi EPL: Wolves vs Liverpool

Uchambuzi EPL: Wolves vs Liverpool

Tuko kwenye raundi 10 za mwisho za msimu katika EPL ya 2020/21, wakati jedwali linaanza kuchukua sura yake ya mwisho. Gameweek 29 itafikia kileleni siku ya Jumatatu huko Molineux, ambapo Wolves itacheza na  Liverpool, na timu zote zinatafuta kurudi...
Mwaka Mmoja wa Mabadiliko ya Uhondo wa Soka

Mwaka Mmoja wa Mabadiliko ya Uhondo wa Soka

Mwaka mmoja uliopita, kila kitu kilibadilika ulimwenguni. Kwa wengi wetu tutahisi kama maisha ya zamani hivi. Michezo, ni kitu cha kudumu na msisimko na burudani, ambacho kiliwekwa kando kwa jambo muhimu zaidi. Ingawa hakuna mtu aliyeijua wakati huo, Jumatatu Machi...
Mourinho: Kane Anajua Namuhitaji Kila Wakati.

Mourinho: Kane Anajua Namuhitaji Kila Wakati.

Jose Mourinho anamtaka Harry Kane kucheza 'kila dakika ya kila mechi" lakini amesema kwamba kinara wa mabao wa Tottenham alitakiwa kupumzika siku ya Alhamisi kwaajili ya kujitazamia hali yake ya kiafya. Kane alipata tatizo la kifundo cha mguu kwenye mechi...
Tuchel Awataka Wachezaji wa Chelsea Kuongeza Bidii.

Tuchel Awataka Wachezaji wa Chelsea Kuongeza Bidii.

Thomas Tuchel anahisi upande wake wa Chelsea umeonesha upungufu wa ujasiri na amesema "alitarajia zaidi" kutoka kwao katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Barnsley mchezo wa FA Cup raundi ya tano. Goli la Tammy Abraham alilofunga dakika ya 64 ya...
Uchambuzi FA Cup: Barnsley vs Chelsea.

Uchambuzi FA Cup: Barnsley vs Chelsea.

Thomas Tuchel ameyaanza maisha ya Chelsea vizuri sana na inaonekana kama tayari amepata mbinu na mtindo wake wa kuwachezesha kwa wachezaji. Kombe la Kombe la FA sio swali kwa Blues na nina hakika Tuchel atakuwa akitafuta kupata kushinda ili anongeze...

MOST COMMENTED

Tetesi za Usajili Bongo

Nyota wa Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe, Perfect Chikwende yupo kwenye hesabu za mabosi wa Klabu ya Azam FC. Jina la Chikwende kiungo wa...

HOT NEWS