Ligue 1

Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...

Arsenal Yamnyatia Fekir Kama Mbadala wa Odegaard

Arsenal imeweka wazi nia yake kumtaka mchezaji Nabi Fekir kuwa kama mbadala wa Martin Odegaard wakati wa kiangazi. The Gunners wamekuwa wakivutiwa na mchezaji huyo raia wa Ufaransa kwa muda mrefu walikuwa wakimtaka kabla ya hajahamia Real Betis akitokea Lyon...
Solskjaer Athibitisha United Ipo Kwenye Mazungumzo na Cavani

Solskjaer Athibitisha United Ipo Kwenye Mazungumzo na Cavani

Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kwamba klabu ipo kwenye mazunguzo ya mkataba Edinsson Cavani. Cavani alijiunga na Manchester United kwa uhamisho huru kwa dili ya mwaka mmoja mwanzoni mwa msimu huu na mchezaji huyo wa miaka 34...
Mwaka Mmoja wa Mabadiliko ya Uhondo wa Soka

Mwaka Mmoja wa Mabadiliko ya Uhondo wa Soka

Mwaka mmoja uliopita, kila kitu kilibadilika ulimwenguni. Kwa wengi wetu tutahisi kama maisha ya zamani hivi. Michezo, ni kitu cha kudumu na msisimko na burudani, ambacho kiliwekwa kando kwa jambo muhimu zaidi. Ingawa hakuna mtu aliyeijua wakati huo, Jumatatu Machi...
Ibrahimovic Yupo Tayari Kuongeza Mkataba Milan

Ibrahimovic Yupo Tayari Kuongeza Mkataba Milan

Zlatan Ibrahimovic amesema yupo tayari kuongeza mkataba wake Milan kama mkurugenzi wa ufundi Paolo Maldini atataka. Ibrahimovic amekuwa na kiwango thabiti tangu arejee Milan kwa mara ya pili mwezi Januari mwaka uliyopita, mchezaji huyo wa miaka 39 amekuwa na mchango...
Aubameyang Afikisha Mabao 200 Ulaya.

Aubameyang Afikisha Mabao 200 Ulaya.

Pierre-Emerick Aubameyang alifunga mabao matatu kwenye ushindi wa 4-2 mchezo wa Premier League dhidi ya Leeds na ilikuwa hat-trick yake ya kwanza tangu ajiunge na ligi hiyo ya Uingereza. Haikuwa rekodi ya hat-trick ya kwanza pekee bali fowadi huyo alikuwa...

Messi Afikia Rekodi ya Xavi Ndani ya LaLiga.

Lionel Messi amefikia rekodi ya kucheza mechi nyingi za LaLiga akiwa na Barcelona iliyowekwa na mchezaji mwenzake wa zamani Xavi Hernandez siku ya Jumamosi Barcelona ilipocheza na Deportivo Alaves. Ilikuwa ikidhaniwa labda Ronald Koeman angempumzisha Messi kwaajili ya mchezo wa...
Kylian Mbappe

Klopp na Fabinho: Mbappe Atimbe Liverpool

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp na kiungo wa kujihami Fabinho wanaripotiwa wote 'wanamshinikiza' Kylian Mbappe ajiunge na mabingwa hao wa Ligi Kuu. Mustakabali wa Mbappe kwa sasa unazungumziwa sana, na hivi karibuni mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa anakubali kwamba...
Pochettino Akataa Kuwapuuza Barcelona na Madrid.

Pochettino Akataa Kuwapuuza Barcelona na Madrid.

Mauricio Pochettino amekataa kwamba alipuuza dili ya kujiunga na vilabu vya LaLiga Real Madrid na Barcelona kama kocha. Pochettino alikuwa akihusishwa na miamba wa LaLiga hapo nyuma kabla ya kujiunga na klabu ya Ligue 1 Paris Saint-Germain mwanzoni mwa mwezi...

Thomas N’Kono na Mkono wa Gianluigi Buffon

Juni 8, 1990 kwenye dimba la San Sirro mjini Milan Italia, dunia ilishuhudia moja ya maajabu makubwa ya soka yakitokea. Hiyo ilikuwa siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia ambapo mabingwa watetezi, Argentina, walikutana na Cameroon. Argentina wakiwa na mtu...

MOST COMMENTED

Bronze Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Kike ya...

Lucy Bronze ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora ya Wanawake ya FIFA kwa mwaka 2020 baada ya kushinda Ligi ya Mabingwa na Lyon. Mchezaji huyo wa...
aaron-ramsey-gareth-bale-wayne-hennessey-joe-ledley-wales_3362111

Wales Yapaishwa!

HOT NEWS