Mshambuliaji wa klabu ya PSG Kylian Mbappe inaelezwa mapema asubuhi ya leo amewaaga wachezaji wenzake na kuwaeleza ataondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Mwanzoni mwa wiki hii …
Makala nyingine
Wakala wa Gigio Donnarumma, Enzo Raiola, anasisitiza kuwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia ndiye ‘kipa bora zaidi duniani’ na anafichua kuwa aliikataa Real Madrid. Raiola, binamu wa marehemu Mino, …
Klabu ya Olympique Lyon imemtimua kocha wake Fabio Grosso baada ya matokeo mabaya ambayo yanaendelea kutokea ndani ya klabu hiyo kwenye michuano mbalimbali. Klabu ya Olympique lyon imefukuza makocha takribani …
Ripoti kutoka Ufaransa zinasema kuwa Fabio Grosso huenda akafutwa kazi na Olympique Lyon hivi karibuni baada ya matokeo kushindwa kuimarika. Kocha huyo wa Kiitaliano mwenye umri wa miaka 46 …
Mechi ya Lyon ya Ligue 1 dhidi ya Marseille iliahirishwa baada ya basi la timu hiyo kushambuliwa. Meneja Fabio Grosso alipata jeraha la kichwa baada ya basi hilo kuripotiwa …
Rais wa klabu ya PSG Nasser Al Khelafi amesema kua klabu hiyo ipo kwenye muenendo mzuri licha ya kuanza vibaya mashindano yao mbalimbali msimu huu. Rais Nasser Al Khelaifi amesema …
Kocha wa klabu ya PSG Luis Enrique amesema kua winga wake raia wa kimataifa wa Ufaransa Ousmane Dembele atarejea kwenye kiwango chake bora, Hii ni kutokana na maneno ambayo anatupiwa …
Beki wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ureno Nuno Mendes anatarajiwa kua nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi minne kutokana na majeraha ambayo ameyapata katika goti …
Kocha mkuu wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique aliondoa wasiwasi wa Kylian Mbappe wa jeraha baada ya mshambuliaji huyo wa Ufaransa kubadilishwa katika ushindi wao wa 4-0 dhidi ya Marseille. …
Kocha wa klabu ya PSG Luis Enrique amezungumza na kumsifia winga wa klabu hiyo kua ni mchezaji mzuri na kusema kua kama angekua shabiki wa timu nyingine angelipa tiketi kwajili …
Vyombo vingi vinaripoti kuwa Fabio Grosso ametia saini rasmi nyaraka zote muhimu za kuchukua nafasi ya kocha mpya wa klabu ya Ligue 1 Olympique Lyonnais. Tangu Jumatano, imeripotiwa …
Kule Ligi ya Ufaransa klabu ya PSG walipoteza mchezo wao wa kwanza chini ya meneja mpya Luis Enrique walipochapwa 3-2 na Nice licha ya Kylian Mbappe kutupia mabao mawili. …
Klabu ya Olympique Lyon imetangaza kumfuta kazi aliyekua kocha wake Laurent Blanc baada ya klabu hiyo kutokua na matokeo mazuri katika michezo yake ya ligi kuu ya Ufaransa. Olympique Lyon …
Kulingana na ripoti kutoka Ufaransa, Olympique Lyonnais wanamtazama mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Italia na kocha wa zamani wa Milan na Napoli Gennaro Gattuso katika kutafuta kocha mkuu …
Kiungo wa kati wa Italia Cher Ndour alicheza mechi yake ya kwanza ya PSG kwa mara ya kwanza Jumapili na kupongezwa na supastaa Kylian Mbappé. Ndour alijiunga na PSG …
Kylian Mbappe amefunga mabao mawili na kuiongoza Paris Saint-Germain kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Lens, ukiwa ni ushindi wao wa kwanza katika kampeni za Ligue 1 za 2023-24. …
Mshambuliaji wa klabu ya PSG Kylian Mbappe anatarajia kuwepo kwenye kikosi cha klabu hiyo kuelekea mchezo ujao wa timu hiyo dhidi ya klabu Tolouse. Mbappe amerejea kwenye klabu ya PSG …