Nyumbani Football International Friendlies

International Friendlies

Moore Awaokoa Wales dhidi ya Mexico

Moore Awaokoa Wales dhidi ya Mexico

Kieffer Moore alifunga bao pekee la mchezo wakati Wales walipopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mexico siku ya Jumamosi. Wales ilibadilisha wachezaji wote 11 baada ya kutoka kupoteza kwa 3-1 mchezo wa kutafuta tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia...

Stones Anastahili Kuitwa Katika Kikosi cha England

John Stones anastahili kuitwa katika timu ya taifa ya England, hii ni kulingana na meneja wa Manchester City Pep Guardiola. Beki huyo mwenye umri wa miaka 26 aliifungia City bao la ufunguzi katika ushindi wa 3-0 Jumamosi ugenini dhidi ya...

Bibiana Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha Bundesliga

Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika desturi za kiume (Tom boy). Binti huyu aliandika article nyingi sana ikiwemo ya kuhusu Gender...

Messi Anavyotukumbusha Mungu Yupo

Nimesikia maajabu mengi sana duniani ikiwemo mchanga unaotembea katika hifadhi ya taifa Ngorongoro. Nimesikia juu ya miti inayotembea ndani ya msitu mkubwa wa Amazon. Unajua bado siamini kama ipo chemchem inayotoa maji ya moto chini ya ardhi? Hii ni...

Messi Akiri Kutaka Kuondoka Kumemgharimu Msimu Huu

Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo liligonga mwamba katika dirisha la uhamisho lililopita liliathiri sana mchezo wake msimu huu. Mwezi Agosti mwaka huu mshambuliaji huyo nyota...

Siku ya Mwisho ya Franseco Totti Pale Stadio Olimpico

Ni usiku wa May 28 2017, muamuzi ametoka tu kupuliza kipenga chake kuumaliza mchezo wa Roma dhidi ya Genoa. Ushindi wa 3-2 wala haujawapa furaha mashabiki wa Roma. Leo shujaa wao Franseco Totti alikuwa anacheza kwa mara ya mwisho. Mzee...

Kisa Kipigo S.A.D Villaverde Yatokwa na Povu

Klabu ya Real Madrid imeingia kwenye lawama dhidi klabu ya S.A.D Villaverde kufuatia timu yao ya vijana kuwafunga wapinzani wao mabao 31-0. Timu ya vijana ya chini ya miaka 9 ya SAD Villaverde ilicheza mechi ya ligi ya vijana chini...

Ronaldo na Messi Walivyoturudisha Manilla, Ufilipino

Lilikuwa pambano lao la mwisho kuwaaga mashabiki wa ngumi ulimwenguni. Umri wao ulishaenda na hakukuwa na uwezekano wa wao wawili kukutana tena. Hii ilikuwa ni mara ya tatu wanakutana, mara ya kwanza Joe Frazier alishinda, mara ya pili Muhammad Alli...
Diego Maradona

Neno la Mwisho la Maradona kabla ya Kufariki

Mastaa wengi duniani wameendelea kutoa pole kutokana na kifo cha Diego Maradona amefariki akiwa na umri wa miaka 60, siku za mwisho alifanyiwa upasuaji wa ubongo akiwa anaedelea vizuri na kuruhusiwa kutoka hospitali. Miongoni mwa mastaa ambao wametoa kauli kuhusu...

Peter Shilton: Maradona Hakutuomba Msamaha kwa Bao la Mkono

Kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya England Peter Shilton ambaye alikuwa langoni kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kati ya England dhidi ya timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa Diego Maradona...

MOST COMMENTED

Aweka Rekodi!

Wakati michuano ya EURO 2016 ikiendelea Cristiano Ronaldo ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kabisa kucheza mechi 17 katika fainali za mataifa ya Ulaya...

HOT NEWS