Nyumbani Football International

International

De Bruyne Apata Jeraha la Kifundo cha Mguu

De Bruyne Apata Jeraha la Kifundo cha Mguu

Manchester City itamtathmini Kevin De Bruyne kugundua ukali wa jeraha la kiungo huyo kabla ya safari ya Jumatano Aston Villa. De Bruyne aliumia wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea Jumamosi na jeraha la...

Tumestahili Ushindi Dhidi ya Pep – Tuchel

Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa kikosi chake kilistahili ushindi dhidi ya Pep huku akitanabaisha kuwa Pep ni moja ya makocha bora Duniani. Chelsea jana walipata ushindi wa 1-0 katika nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya...
Ninja

Ninja Mpira Ukikuacha, Usikubali Kuachika

Mabadiliko ya mpira wa kisasa yameleta ukatili kwenye dunia ya soka. Siku hizi kitu kimoja pekee hakikutoshi kuwa mchezaji. Siku hizi uimara wa mchezaji hautambuliki tena kwa kufanya majukumu yake ya msingi. Unashangaa? Ndiyo uimara wa mchezaji hautambuliki kwa kufanya...

Uchambuzi Serie A: Napoli vs Inter Milan

Inter watakuwa kwenye mawindo yao ya ushindi wa 10 kumfululizo katika Serie A pale watakapo kabiliana na Napoli huku The Nerazzurri wakiwa na matumaini ya kutwaa taji la Scudetto msimu huu. Vijana wa Antonio Conte wamekuwa katika fomu kwa wiki...
Messi Avunja Rekodi Fainali Copa del Rey.

Messi Avunja Rekodi Fainali Copa del Rey.

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi alimpita Telmo Zarra kama mfungaji bora wa muda wote wa Copa del Rey na bao lake la kipindi cha pili, Jumamosi kwenye ushindi wa 4-0 dhidi ya Athletic Club.   “Leo ni siku ya furaha sana....
curry

Alama 47 Za Steph Curry Zashindwa Kuikoa Warriors!

Katika NBA hapo jana, Steph Curry alishindwa kuiokoa timu yake kuepuka kichapo cha 119 - 114 baada ya vita kali yake na Jason Tatim. Hayo yalitokea katika mechi ya kukata na shoka kati ya Boston Celtics na Golden State...
Liverpool : Dembele Mbadala wa Mane Anfield.

Liverpool : Dembele Mbadala wa Mane Anfield.

  Klabu ya Liverpool wamejiandaa kutumia pesa nyingi kumsajili winga wa Barcelona Ousmane Dembele kama mbadala wa Sadio Mane katika majira yajayo ya kiangazi. Umekuwa msimu wa kukatisha tamaa kwa Mane, ambaye amefunga mabao 12 tu kwenye mashindano yote na matano...
Kane

Kane Chagua kuwa Shetani au Malaika

Kuna kitu kimoja Harry Kane kwa sasa anahitaji. Anahitaji kuamua anataka akumbukwe kama nani. Gwiji Edo Kumwembe alisema, anatakiwa kuchagua kuwa shetani au malaika. Miezi mitatu ijayo atakuwa na miaka 28. Kama anahitaji kuondoka Spurs, huu ndio muda sahihi, hana...
andre silva

United: Andre Silva Kuwa Mbadala Wa Haaland?

Wakati Man United wakiendeleza jitihada zao za kuimarisha kikosi chao hasa eneo la ushambuliaji, jina la Andre Silva limeibuka kama moja ya malengo ya klabu hiyo. Andre Silva amekuja kama moja ya malengo hayo baada ya usajili wa Erling Haaland...
Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.

Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.

Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali Tarehe 18 April 2021. Ratiba: England Premier League 15:30 Arsenal Vs Fulham 18:00 Manchester United Vs Burnley England FA Cup 20:30: Leicester City Vs Southampton Italy Serie A 13:30 AC Milan Vs Genoa 16:00 Atalanta Vs Juventus 16:00 Bologna Vs Spezia 16:00 Lazio Vs...

MOST COMMENTED

Neville: Varane Atawafaa Manchester United

Mkongwe wa Manchester United, Gary Neville angependa mlinzi wa kati wa Real Madrid Raphael Varane akitua Manchester United wakati wa majira ya joto. Gary Neville...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Fununu za Usajili

Fununu za Usajili

HOT NEWS