Serie A

RoNALDO Amtakia mazuri Ansu Fati

Ronaldo Atuma Ujumbe Kwa Mrithi Wa Messi!

Mchezaji wa Juventus, Christano Ronaldo ametuma pole na ujumbe wa kumfariji nyota mdogo wa Barcelona, Ansu Fati kufuatia majeraha yake ya goti yanayomkabili. Ronaldo amekuwa akijulikana kutoa ushauri na motisha kwa watu wengi walio na shida. Katika post aliyetuma CR7...
Pinsoglio: Ronaldo Kukosa Free-kick Labda Bahati Mbaya

Pinsoglio: Ronaldo Kukosa Free-kick Labda Bahati Mbaya

Christiano Ronaldo amekuwa akifunga free-kick wakati wa mazoezi lakini amekuwa akipiga vibaya mipira ya kufa wakati wa michezo ya Juventus. Mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d'Or ameweka rekodi ya kufunga mabao 95 kwenye michezo 123 katika mashindano yote...
Douglas Costa

Douglas Costa Kurudisha Mpira Kwa Kipa!!

Baada ya kutolewa kwa mkopo na klabu ya Juventus na kurudi tena Bayern Munich, bado Douglas Costa anataabika kupata namba kwenye kikosi cha miamba hio ya soka la Ulaya. Costa alihusishwa na Man United kama mbadala wa Jadon Sancho lakini...

Zidane Anajua Madrid Ilipwaya Dhidi ya Atalanta.

Zinedine Zidane amekubali Real Madrid hawakujitendea haki dhidi ya Atalanta watu ya 10 lakini aliridhika kuondoka na faida ya ushindi wa 1-0 ya Ligi ya Mabingwa. Kiungo wa Atalanta Remo Freuler alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mbaya...

Inter Milan na Bayern, Mwendo Mdundo!

Mbio za kuwania Scudetto na taji la Bundesliga zinaendelea kupamba moto. Inter Milan na Bayern Munich, mwendo mdundo!! Inter alikuwa uwanjani kupambana na Fiorentina, Nicolo Barella na Ivan Perisic walitosha kuwapatia vijana wa Antonio Conte pointi 3 muhimu na sasa...

Mchakamchaka wa Usajili Barani Ulaya.

Mambo yanazidi kupamba moto kwenye mchezo wa soka barani Ulaya. Mchakamchaka wa usajili haujawahi kuwa kitu kirahisi kwa wachezaji na timu mbalimbali. AS Roma huenda wakaachana na nahodha wao, Edin Dzeko. Hii ni baada ya mshambuliaji huyo kugombana na kocha...
Adama Soumaoro: Nitawaonesha Bologna Thamani Yangu

Adama Soumaoro: Nitawaonesha Bologna Thamani Yangu

Beki wa kati wa Bologna Adama Soumaoro amesisiriza kuwa huu ni wakati wake wa kuwaonesha Bologna thamani yake pale anaporejea dimbani kwenye Serie A. Nyota huyu mwenye miaka 28 amewasili kutoka LOSC Lille kwa mkopo, ambao ulikuwa na kipengele cha...

Thomas N’Kono na Mkono wa Gianluigi Buffon

Juni 8, 1990 kwenye dimba la San Sirro mjini Milan Italia, dunia ilishuhudia moja ya maajabu makubwa ya soka yakitokea. Hiyo ilikuwa siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia ambapo mabingwa watetezi, Argentina, walikutana na Cameroon. Argentina wakiwa na mtu...
Zlatan Ibrahimovic

Zawadi Aliyojipa Zlatan Ibrahimovic

Wewe ulijipa zawadi ya Krismasi? Basi nyota wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic aliamua kujipa zawadi krismasi, amejinunulia msitu huko Sweden kama zawadi. Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, nyota huyu aliamua kutumia €3m kununua sehemu ya msitu wa hekta...
Cristiano Ronaldo

Ronaldo Ana Ndoto ya Kucheza Miaka Mingi Zaidi!

Nyota wa Juventus na Ureno, Cristiano Ronaldo anaendelea kusisitiza kuwa ndoto yake ni kucheza miaka mingi kadri iwezekanavyo na kushinda Kombe la Dunia. Nyota huyu ambaye ameshinda Ballon d'Or mara 5, anaongoza kwa magoli katika ligi kuu ya Italia -Serie...

MOST COMMENTED

Erasto Nyoni, Beki wa Kiwango cha Lami Tanzania

Kuna kipindi nilitumia muda mwingi sana kujifunza kuhusu wachezaji bora waliowahi kutokea duniani, kuna wakati nilikesha usiku nikitafiti juu ya mabeki waliopita katika soka....
Rage: Mkude Ajitambue Sasa.

Rage: Mkude Ajitambue Sasa.

Watford Waachana na Welbeck

HOT NEWS