Nyumbani Football National Teams

National Teams

Viatu vya Messi Kuuzwa Kwa Mnada Kwaajili ya Kusaidia Jamii

Viatu vya Messi Kuuzwa Kwa Mnada Kwaajili ya Kusaidia Jamii

Mashabiki wanaweza kuweka chochote katika viatu vya Lionel Messi alivyovaa wakati alipovunja rekodi ya Pele ya mabao 644 ndani ya klabu moja Barcelona - lakini inaweza kuwarejeshea pauni 70,000 kufanya hivyo. Messi alifunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real...
Ten Hag Apata Wasiwasi na Kiwango cha Kudus

Ten Hag Apata Wasiwasi na Kiwango cha Kudus

Kocha wa Ajax Erik ten Hag hakufurahishwa kiwango cha Mohammed Kudus kwenye mchezo waliyokwenda sare ya 1-1 katika Ligi ya Uropa dhidi ya AS Roma lakini anaamini mshambuliaji huyo lazima apewe muda zaidi ili arudi kwenye ubora wake. One-nil up,...

Aubameyang Anajisikia Poa Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Nahodha wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang "anajisikia vizuri" baada kurejea nyumbani akitoka Hospitali alikokuwa amelazwa kwa siku mbili sababu ya kuugua Malaria, meneja Arteta amethibitisha. Starika huyo wa Gabon hakuwa kwenye kikosi cha Arsenal katika michezo yao miwili ya mwisho na...
Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...
Sancho Nje Dhidi ya Man City Licha ya Kuanza Mazoezi

Sancho Nje Dhidi ya Man City Licha ya Kuanza Mazoezi

Jadon Sancho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Borussia Dortmund kitakacho menyana na Manchester City kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa kutokana na kutokuwa fit vya kutosha. Mchezaji huyo wa kimataifa wa England alikosa mechi kadhaa mwezi uliopita kwa klabu na...
Neville: Varane Atawafaa Manchester United

Neville: Varane Atawafaa Manchester United

Mkongwe wa Manchester United, Gary Neville angependa mlinzi wa kati wa Real Madrid Raphael Varane akitua Manchester United wakati wa majira ya joto. Gary Neville anamchukulia beki wa Real Madrid Raphael Varane kuwa ndoto yake ya kusaini Manchester United katika...

Messi Anapaswa Kufuata Matakwa ya Moyo Wake

Lionel Messi anapaswa kufuata nini moyo wake unapenda na kusalia Barcelona kwaajili ya kurudisha ubora wa The Blaugrana, hii ni kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa zamani wa Argentina Franco Di Santo. Uvumi juu hatima ya Messi umeendelea kutawala wakati...
Ramos: Messi Ameinyima Real Madrid Mataji Mengi.

Ramos: Messi Ameinyima Real Madrid Mataji Mengi.

Sergio Ramos amekiri kwamba Lionel Messi amefanya Real Madrid wapate tabu kwa miaka mingi akiwa na Nahodha huyo wa The Blancos ametoa ya maoyoni kwamba Madrid ingeshinda mataji mengi kama nyota huyo wa Argentina asingekuwa Barcelona. Mlinzi huyo wa muda...

Pulisic, Kante Wapo Fiti Kuwakabili FC Porto

Thomas Tuchel amethibitisha kuwa wachezaji wawili wa Chelsea Christian Pulisic na N'Golo Kante wako fiti kukabiliana na Porto katika mchezo wa robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Jumatano usiku. Pulisic alitolewa wakati wa mchezo wa Jumamosi ambao Chelsea...
Turner: Kuna Kitu cha Kujifunza kwa Chelsea ya Wanawake

Turner: Kuna Kitu cha Kujifunza kwa Chelsea ya Wanawake

Beki wa timu ya Wanawake ya Manchester United Amy Turner aliambia kipindi cha Soka la Wanawake kwamba Chelsea inaweka kiwango kizuri, anasema pia kocha mkuu Casey Stoney amemsaidia kuboresha "kwa kiasi kikubwa" Meneja wa Chelsea Emma Hayes alipongeza matokeo hayo...

MOST COMMENTED

Casemiro: Real Madrid Itapambania Mataji Yote

Kiungo wa Real Madrid Casemiro ananguvu ya kusema kwamba klabu inaweza kushindania mataji yote mawili LaLiga na Champions League. Mbio za kuwania taji la LaLiga...

HOT NEWS