Makala nyingine

UNAKUBALI KUWA ASILI YA SOKA NI CHINA?   Mchoro wa mchezo wa kandanda katika makumbusho ya Linzi Kufika sasa ni dhahiri kuwa China ilikuwa na vilabu vya soka, sheria, na …

ULIANZIA WAPI HASA? Kwa zaidi ya miaka 2000, Wachina wamekuwa wakicheza mpira wa cuju au zuqiu, ambao hutamkwa tsoo-joo unaohusu upigaji mpira shuti kwa kutumia mguu kwa Kiingereza “kickball”. Neno hilo hutumika kumaanisha kandanda hadi …

Ningepata mtu anihakikishie sio kufuru, ningesema hajazaliwa na mwanamke kama binadamu wengine. Ningepata mtu anihakikishie sio dhihaka, ningesema alitengenezwa maabara sawa na maroboti wenzake. Ningepata mtu anihakikishie sio dharau ningesema …

Michuano ya Kombe la Dunia imemalizika nchini Urusi, lakini licha ya mchezo huo kuwa na ufuasi mkubwa, ni wachache sana ambao hutafakari kuhusu chanzo cha mchezo huu maarufu. Suala hilo …

FIFA inawasaidia wachezaji wa soka wenye uraia wa nchi zaidi ya moja kubadili kuwakilisha timu ya taifa hata kama walishaichezea nchi nyingine lakini Kuna sheria za kufuatwa – Haya ni …

Kingsley Coman amesema atawashauri wachezaji wenzake wa Bayern Munich namna ya kumzuia nyota wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe siku ya fainali ya Champions League. Mbappe alikuwa akisumbuliwa na jeraha la …

Mchezo wa soka umeshika hatamu mwishoni mwa karne ya 19 katika miaka ya 1850 mpaka 1900. Ndio kipindi ambacho mchezo huu pendwa zaidi duniani ulianzishwa na vilabu vingi vikongwe duniani …

Samuel Umtiti ambaye ni mchezaji beki wa taifa la Ufaransa ametoboa ukweli kwamba wachezaji wote wa taifa lao la Ufaransa walikuwa waoga kwenye mtanange dhidi ya taifa la Argentina kwenye …

Shirikisho la Kandanda Ujerumani limekataa katukatu kuhusika na tuhuma za ubaguzi kwa mchezaji Mesut Özil na kuwa lilipaswa kuwajibika kuhakikisha kuwa mchezaji huyo hapitii ubaguzi wowote ule. Mchezaji Özil alitangaza …

Hatutegemei kwamba kocha Vladimir Petkovic akiwa na mchezaji wake staa Xherdan Shaqiri wataruhusu kuchezea kichapo mbele ya Sweden hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mwaka huu 2018 inayoendelea kule …

Uwanjani leo kuna jumla ya mechi nne kwenye Kombe la Dunia na kocha Carlos Queiroz atakuwa akikiongoza kikosi chake katika kusaka taji hilo na mechi yao leo ni dhidi ya …

Hii inakuja ikiwa ni baada ya wao kukosa kupenya mwaka 2014 ambapo sasa timu ya taifa ya Denmark inakwaana na mataifa kadhaa kuhakikisha wanafanikiwa kwenye Kombe la Dunia. Mchezaji Eriksen …

Nabil Maaloul ambaye ni kocha wa taifa la Tunisia anakiongoza kikosi chake kuwinda taji la Kombe la Dunia leo hii! Ikiwa ni mara baada ya wao kuonekana kwenye fainali 3 …

Kocha mkuu wa taifa la Uruguay, Oscar Tabarez anakiongoza kikosi chake leo ikiwa ni baada ya kampeni ya mwisho ya Uruguay kwenye Kombe la Dunia iliyoshuhudiwa Suarez akimng’ata Giorgio Chiellini! …

1 2