McGregor Kusalia Rangers FC.
Licha ya kuwa na umri wa miaka 39, golikipa wa Rangers FC - Allan McGregor amesaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki kwenye timu hiyo msimu ujao.
Allan ni miongoni mwa wachezaji walioandika historia chini ya kocha Steven Gerrard kwa kutwaa...