La Liga

Man City Wamnyatia Kinda Kayky Kutoka Fluminense

Man City Wamnyatia Kinda Kayky Kutoka Fluminense

Ripoti zinadai Klabu ya Manchester City wanajipanga kumsajili kinda wa Kibrazil Kayky kutoka katika klabu ya Fluminense. Viongozi wa Premier League wakuwa wakihusishwa na fowadi huyo tangu mwaka ulipoanza. Kwa mujibu wa Fabrizo Romano, City sasa wanakaribia kusaini dili yenye thamani...
Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...
RoNALDO Amtakia mazuri Ansu Fati

Ronaldo Atuma Ujumbe Kwa Mrithi Wa Messi!

Mchezaji wa Juventus, Christano Ronaldo ametuma pole na ujumbe wa kumfariji nyota mdogo wa Barcelona, Ansu Fati kufuatia majeraha yake ya goti yanayomkabili. Ronaldo amekuwa akijulikana kutoa ushauri na motisha kwa watu wengi walio na shida. Katika post aliyetuma CR7...
Uchambuzi LaLiga: Real Madrid vs Barcelona

Uchambuzi LaLiga: Real Madrid vs Barcelona

Mechi kubwa leo katika LaLiga inawakutanisha Miamba wawili wa Uhispania Real Madrid wakiwa uwanja wa nyumbani Estadio Alfredo Di Stefano dhidi ya Barcelona wakikamilisha mechi ya 30 kaatika harakati za kuwania ubingwa. Real Madrid wanaelekea katika mchezo wa Jumamosi wakiwa...
Ramos: Messi Ameinyima Real Madrid Mataji Mengi.

Ramos: Messi Ameinyima Real Madrid Mataji Mengi.

Sergio Ramos amekiri kwamba Lionel Messi amefanya Real Madrid wapate tabu kwa miaka mingi akiwa na Nahodha huyo wa The Blancos ametoa ya maoyoni kwamba Madrid ingeshinda mataji mengi kama nyota huyo wa Argentina asingekuwa Barcelona. Mlinzi huyo wa muda...
Barcelona na madrid wameachana kwa alama 3 tu kabla ya El Classico

Tofauti Ya Alama 3 tu La Liga!

Ligi Kuu ya Hispania, La Liga imepamba moto sasa, huku timu tatu zinazoongoza ligi hiyo, Atletico Madrid, Barcelona na Real Madrid wakipishana kuongoza usukani wa ligi hiyo kwa alama tatu tu! Atletico Madrid wanaongoza ligi hiyo wakiwa na alama 66,...

Zidane Avunja Ukimya Juu ya Salah Kutua Real Madrid

Zinedine Zidane amefunguka juu ya tetesi zikimuhusisha Mohamed Salah na Real Madrid kuelekea mchezo wa robo fainali ya Champions League dhidi ya Liverpool. Salah amekuwa katika vichwa vya habari wiki iliyopita baada ya kukiri kwamba yupo tayari kucheza nchini Spain...
Atletico Madrid

Atletico Madrid, Ubingwa wa LaLiga Matatani.

Licha ya kuendelea kukaa kileleni kwenye msimamo wa LaLiga, Atletico Madrid bado wanakazi ya ziada kuhakikisha wanarudia kile walichokifanya 2014. Atletico walijikuta wakiambulia kipigo cha 3 kwenye LaLiga msimu huu baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Sevilla wikiendi hii. Goli pekee...
Mouctar Diakhaby

Valencia Yatoka Nje Ya Uwanja Kisa Ubaguzi Wa Rangi

Mchezo wa La Liga kati ya Valencia na Cadiz, ulisimamishwa kwa muda baada ya timu ya Valencia kutoka nje uwanja baada ya beki wao Kisiki Mouctar Diakhaby kuambiwa maneno ya kibaguzi na mchezaji wa Cadiz Juan Cala. Katika mechi hiyo...
Ramos kukosa liverpool

Ramos Kuwakosa Liverpool na El Classico

Taarifa rasmi kutoka Real Madrid zinaeleza kuwa Nahodha wa timu hiyo Sergio Ramos atakosa michezo yote miwili ya robo fainali ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool pamoja na El Classico baadae mwezi huu.  Ramos alipata majeraha misuli ambayo...

MOST COMMENTED

Fainali ya kombe la F.A, Fainali ya kombe la Ujerumani, na...

Arsenal wanatazamia kubaki na kombe la F.A pale Wembley, lakini Vijana hawa wa Wenger hakika watakabiliana na wapinzani wagumu - Aston Villa. Villa hawakuweza...
messi-hatrick

MESSI ANA HAT TRICKS 35!

HOT NEWS