Nyumbani Football Transfer Centre

Transfer Centre

Tumestahili Ushindi Dhidi ya Pep – Tuchel

Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa kikosi chake kilistahili ushindi dhidi ya Pep huku akitanabaisha kuwa Pep ni moja ya makocha bora Duniani. Chelsea jana walipata ushindi wa 1-0 katika nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya...
Ninja

Ninja Mpira Ukikuacha, Usikubali Kuachika

Mabadiliko ya mpira wa kisasa yameleta ukatili kwenye dunia ya soka. Siku hizi kitu kimoja pekee hakikutoshi kuwa mchezaji. Siku hizi uimara wa mchezaji hautambuliki tena kwa kufanya majukumu yake ya msingi. Unashangaa? Ndiyo uimara wa mchezaji hautambuliki kwa kufanya...
curry

Alama 47 Za Steph Curry Zashindwa Kuikoa Warriors!

Katika NBA hapo jana, Steph Curry alishindwa kuiokoa timu yake kuepuka kichapo cha 119 - 114 baada ya vita kali yake na Jason Tatim. Hayo yalitokea katika mechi ya kukata na shoka kati ya Boston Celtics na Golden State...
Liverpool : Dembele Mbadala wa Mane Anfield.

Liverpool : Dembele Mbadala wa Mane Anfield.

  Klabu ya Liverpool wamejiandaa kutumia pesa nyingi kumsajili winga wa Barcelona Ousmane Dembele kama mbadala wa Sadio Mane katika majira yajayo ya kiangazi. Umekuwa msimu wa kukatisha tamaa kwa Mane, ambaye amefunga mabao 12 tu kwenye mashindano yote na matano...
Kane

Kane Chagua kuwa Shetani au Malaika

Kuna kitu kimoja Harry Kane kwa sasa anahitaji. Anahitaji kuamua anataka akumbukwe kama nani. Gwiji Edo Kumwembe alisema, anatakiwa kuchagua kuwa shetani au malaika. Miezi mitatu ijayo atakuwa na miaka 28. Kama anahitaji kuondoka Spurs, huu ndio muda sahihi, hana...
andre silva

United: Andre Silva Kuwa Mbadala Wa Haaland?

Wakati Man United wakiendeleza jitihada zao za kuimarisha kikosi chao hasa eneo la ushambuliaji, jina la Andre Silva limeibuka kama moja ya malengo ya klabu hiyo. Andre Silva amekuja kama moja ya malengo hayo baada ya usajili wa Erling Haaland...
Hansi Flick Kusepa Bayern Munich.

Hansi Flick Kusepa Bayern Munich.

Kocha wa Bayern Munich ya nchini Ujerumani Hansi Flick amefikia maamuzi ya kuondoka Bayern mwishoni mwa msimu, amethibitishwa na rasmi. Flick ametangaza uamuzi wake rasmi, pia aliwasiliana na bodi na wachezaji leo. Anaondoka Bayern baada ya kushinda mataji yote yanayopatikana.   Baada...
pau torres

United Kutenga Euro Milioni 56 Kwa Pau Torres?

Mchezaji Pau Torres anayekipiga katikaklabu ya Villareal amekuwa akifanya vyema sana katika majukumu yake ya ulinzi na kocha mkuu Unai Emery anaonekana kumtumia sana. Kutokana na ubora wake, Pau amekuwa akihusishwa na kuhitajika na vilabu mbalimbali ikiwemo, Real Madrid, Barcelona...
SHEFFIELD

EPL: Sheffield OUT, Norwich City IN

Timu ya Sheffield United iliyokuwa ikishika mkia wa EPL, hatimaye wameshuka rasmi kwenda kwenye daraka la kwanza. Timu hiyo imekutwa na kadhia hiyo baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Wolves. Katika mchezo uliopigwa hapo jana, Sheffield walitawala mpira kwa...
Kessy

Nipo Tayari Kusaini Yanga – Kessy

Beki tegemezi wa pembeni ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar, Hassan Kessy amesema kuwa yupo tayari kusaini kwenye timu yoyote ambayo itahitaji saini yake hata wakiwa ni mabosi wake wa zamani, Yanga. “Mimi ni mchezaji na nipo tayari kucheza popote...

MOST COMMENTED

Lukaku Aficha Mipango Yake Kusalia United

Nyota wa manchester United amesema anatarajia kuwa na kipindi kizito msimu ujao huku akiacha maswali yasiyojibika kuhusu hatma yake klabuni Manchester United. Atakuwa ana...
ABSA

Ligi Tajiri Afrika

HOT NEWS