Nyumbani Football Champions League

Champions League

Tumestahili Ushindi Dhidi ya Pep – Tuchel

Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa kikosi chake kilistahili ushindi dhidi ya Pep huku akitanabaisha kuwa Pep ni moja ya makocha bora Duniani. Chelsea jana walipata ushindi wa 1-0 katika nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya...
Ninja

Ninja Mpira Ukikuacha, Usikubali Kuachika

Mabadiliko ya mpira wa kisasa yameleta ukatili kwenye dunia ya soka. Siku hizi kitu kimoja pekee hakikutoshi kuwa mchezaji. Siku hizi uimara wa mchezaji hautambuliki tena kwa kufanya majukumu yake ya msingi. Unashangaa? Ndiyo uimara wa mchezaji hautambuliki kwa kufanya...
Kane

Kane Chagua kuwa Shetani au Malaika

Kuna kitu kimoja Harry Kane kwa sasa anahitaji. Anahitaji kuamua anataka akumbukwe kama nani. Gwiji Edo Kumwembe alisema, anatakiwa kuchagua kuwa shetani au malaika. Miezi mitatu ijayo atakuwa na miaka 28. Kama anahitaji kuondoka Spurs, huu ndio muda sahihi, hana...
Kessy

Nipo Tayari Kusaini Yanga – Kessy

Beki tegemezi wa pembeni ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar, Hassan Kessy amesema kuwa yupo tayari kusaini kwenye timu yoyote ambayo itahitaji saini yake hata wakiwa ni mabosi wake wa zamani, Yanga. “Mimi ni mchezaji na nipo tayari kucheza popote...
Pavol

Pavol Kutua Mamelodi Sundowns

Club ya Sepsi OSK ya Romania imeripotiwa kukubali ofa ya Euro 700,000 (Tsh Bilioni 1.9) kutoka Club ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ili imuachie Pavol Safranko (26) ajiunge nao. Mshambuliaji huyo Pavol ambaye ni Raia wa Slovakia amefunga magoli...
Liverpool

Stephen Whittle, Shabiki wa Liverpool Mhanga wa 97

Hii ni picha ya Stephen Whittle, shabiki wa Liverpool anayehesabiwa kama mhanga wa 97 wa maafa ya Hillsborough. Aprili 15, 1989, Liverpool ilipangwa kukutana na Nottingham Forest kwenye nusu fainali ya Kombe la FA, dimbani Hillsborough huko Sheffield. Ndugu yetu...
Mane

Sadio Mane na Maisha ya Kimaskini

Kijijini kabisa huko Sedhiou Senegal, alizaliwa na kukua kwenye umaskini wa kiwango cha juu. Kwa Sadio Mane umaskini si hadithi aliyoisoma kwenye kitabu, si tukio alilolitazama kwenye filamu. Kwa Sadio Mane, umaskini ulikuwa ndugu yake wa karibu aliyelala nae kitanda...

Ahmed Musa Arejea Kano Pillars

Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria Ahmed Musa (28) amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya nyumbani Kano Pillars FC hadi mwisho wa msimu huu 2020/2021. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Leicester City hakuwa na timu tangu alipoondoka mwenye...
Tuchel

Tuchel Atamani Kukutana Na Madrid Zaidi Ya Liverpool

Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel aeleza furaha yake kusaidia timu yake kuingia nusu fainali ya UEFA kwa mara nyingine toka 2014. Thomas asema kwamba ni mafanikio makubwa sana kwa Chelsea na wanataka kufika fainali kabisa na watafika. Chelsea walifanikia kutinga...
Simba

Bado Tupo kwenye Mazungumzo na FCC – Simba

Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mulamu Ng'ambi ameniambia kwamba hadi sasa wapo katika mazungumzo na tume ya ushindani( FCC ) juu ya mchakato wao wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu yao hivyo hawapo tayari kusema...

MOST COMMENTED

‘Surprise’ ya Ole Gunnar kwa Bruno Fernandes

Ole Gunnar amem- 'Surprise' Bruno Fernandes baada ya kutangaza kuwa yeye ndiye atakuwa nahodha wa mechi dhidi ya PSG bila kumpa taarifa awali. Kepteni Harry...

HOT NEWS