Mukoko Atema Nyongo Yanga
Mashabiki wa Yanga bado hawana furaha na timu yao na wala hawakubaliani na jinsi chama lao linavyotaabika mbele ya timu ndogo katika mechi zao za Ligi Kuu, lakini kiungo wao, Mukoko Tonombe naye ametia neno kwa mastaa wote akiwamo...
Bashungwa Aingilia Suala La FCC Na Simba
Ikiwa ni siku moja tu imepita baada ya mwekezaji wa Simba Mo Dewji kutoa maelezo yanayoonekana kuwa na hali ya masikitiko na kukata tamaa kutokana na vizuizi vinavyoweka na FCC, Waziri wa michezo Innocent Bashungwa aingilia kati.
Siku ya leo...
Gomez: Tunarudi Kileleni Mapema Tu!
Kocha wa Simba Sc, Didier Gomez asema anaamini huu ni wakati sahihi wa kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu bara, VPL.
Akizungumza na Mshikemshike ya Azam Tv, Gomez amedai kwamba timu yake itarejea kwenye nafasi ya kwanza mapema kwa...
CAF Kuleta VAR Robo Fainali Ya Ligi Mabingwa
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kwamba litatembelea viwanja nane vitavyotumika katika robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika ili kuangalia uwezekano wa kutumia usaidizi wa uamuzi wa video,VAR.
Ratiba ya robo fainali inategemewa kutoka tarehe 30...
Simba Ni “Next Level” Sasa
Mwekezaji wa Simba, Mo Dewji amekiri kwamba kwa sasa timu hiyo ni moja kati ya timu kubwa sana barani Afrika. Simba imeingia kwenye robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika ikishinda mechi nne, kusulu moja na kupoteza moja...
AZAM: Tunaitaka Nafasi Ya Yanga
Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kuwashusha Simba kutoka kwenye nafasi ya pili ya msimamo, Kocha Mkuu wa kikosi cha Azam, George Lwandamina amesema kuwa bado haridhishwi na nafasi waliyopo, na watapambana kusaka nafasi ya kwanza...
Mwambusi: “Baadhi Ya Wachezaji Walicheza Kwa Kiwango Cha Chini”
Kocha wa muda timu ya Yanga, Juma Mwambusi anadai kwamba kuna baadhi ya wachezaji wa timu yake walikuwa na kiwango cha chini tofauti na alivyotemegemea, baada ya kutoka sare ya 1-1 na KMC.
Ratiba ya ligi ya ligi kuu Tanzania...
Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
Msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara VPL uko hivi:-
Yanga SC akiwa anashika nafasi ya kwanza huku akiongoza kwa pointi 50, wakati wapili akiwa Simba SC akiongoza kwa pointi 46, akifuatiwa na watatu ambae ni Azam FC akiwa na point...
Yanga Matatani Kufungiwa Miaka 3.
Zimwi likujualo, halikuli likakwisha. Ndicho kinachokwenda kuwatokea Dar es Salaam Young Africans - Yanga SC.
Baada ya kutemana na Hamis Tambwe, 2018/19. Klabu hiyo ilishtakiwa kwa kutomlipa Tambwe Stahiki zake kama ambavyo alistahili. Kwa mujibu wa kesi hiyo ambayo ilielekezwa...
VPL: Simba na Namungo Kuendelea Walipoishia.
Kuelekea muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara , baadhi ya timu zilizokuwa na michezo pungufu kuanza safari yao mapema.
Simba SC na Namungo zinamichezo pungufu, hii ni kutokana na ushiriki wa timu hizi kwenye mashindano ya Caf Champions League sambamba...