Makala nyingine

Baada ya tambwe kibao sana kutoka kwa msemaji wa Ruvu, Simba Sc ilihitaji dakika 90 kumthibitishia kuwa sasa ni “next level”, nafasi zilitengenezwa kwa wakati ila mwisho ubao wa matokeo …

Msemaji wa timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire amedai kuwa timu ya Simba itafungwa magoli mengi leo itakapocheza nao huku Mwanza katika mchezo wa mzunguko wa pili baada ya kushinda …

Kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Haji Mfikirwa amesema kuwa kauli aliyoitoa Afisa Habari wa klabu hiyo Hassan Bumbuli kutoutambua mchezo wa Ligi dhidi ya Simba, July 03 SIO …

Mchezaji kiungo wa Yanga, Carlinhos Harmo amevunja mkataba na timu yake ya Yanga baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni matatizo ya kifamilia huko nyumbani kwao Angola. Taarifa rasmi zinadai kuwa …

Nahodha na mchezaji mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco ameibuka mchezaji bora wa wiki wa ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushinda kwa kura nyingi za takribani 82.8%. Nahodha huyu …

Mshambuliaji namba moja ndani ya Azam FC, Prince Dube amesema  kuwa leo watapambana kupata ushindi mbele ya Rhino Rangers kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho. Mchezo wa leo utachezwa majira …

Uongozi wa Yanga kupitia katika ukurasa rasmi wa klabu yao, umeweka wazi sababu ya nyota wao WATATU “watukutu”; Metacha Mnata, Michael Sarpong na Lamine Moro kukosekana katika baadhi ya mechi …

Ratiba za soka leo Jumanne Mei 25, 2021 katika ligi mbalimbali:- Tanzania – ASFC 16:00 Mwadui FC vs Young Africans England – National League 21:00 Altrincham vs Eastleigh 21:45 Barnet …

Mshauri Mkuu wa masuala ya Uongozi ya klabu ya Yanga, Senzo Mbatta amesifia viwango vya wachezaji wa Simba walivyoonyesha kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. “Nawaheshimu wachezaji wote niliofanya …

Mashindano yanayohusisha timu za mtaani, Ndondo Cup inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo, huko shekilango. Mwanzilishi na mfadhili wa mashindano hayo Shaffih Dauda ameeleza hayo katika taarifa yake kwa umma. “Leo …

Klabu ya Simba SC iliyo na maskani yake mitaa ya Msimbazi imeondolewa rasmi katika mashindano ya klabu bingwa Afrika baada kushindwa kufunga magoli manne hapo jana dhidi ya Kaizer Chiefs. …

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wake Mshindo Msolla umetangaza Juni 27 mwaka huu kuwa tarehe rasmi ya mkutano mkuu. Takribani mwaka wa TATU sasa Yanga hawajafanya mkutano …

Nahodha wa Yanga, Lamine Moro leo ameitwa na Uongozi wa juu wa Klabu ili kusikiliza shauri lake la Utovu wa nidhamu lililowasilishwa kwa Uongozi na Benchi la Ufundi. Kaimu Katibu …

1 2 3 4 5