Tennis

Daniil Medvedev

Daniil Medvedev Kuikosa Monte Carlo Masters

Mchezaji wa tenesi namba 2 kwa ubora duniani (wanaume) - Daniil Medvedev, atakosekana kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kukutwa na maambukizi ya COVID19. Medvedev amewekwa kwenye uangalizi maalumu akitibiwa kwa karibu zaidi na madaktari wa mashindano hayo....
French open

French Open 2021 Kughairishwa.

Hali sio shwari nchini Ufaransa kufuatia ongezeko la visa vya COVID-19. Mashindano ya French Open 2021, hatarini kughairishwa. Taarifa hii inatokana na tamko la waziri wa Michezo wa Ufaransa, Roxana Maracineanu. Ufaransa wameingia kwenye “lockdown” kwa Mara ya tatu Jumamosi wiki...
Amir Khan amshauri Benn Kuhusu Samuel

Amir Khan: Ngumi Moja Tu Inatosha!

Bondia muingereza Amir Khan ameibuka na kumuonya bondia mwenzake Conor Benn kuhusu pambano lake na Samuel Vargas jioni ya leo. Amir Khan amemwambia Benn kuwa makini akiwa anapigana na bondia huyo Samuel Vargaz kuwa ni mtu mwenye ujuzi mkubwa wa...
Miami Open

Miami Open: Osaka na Medvedev Watolewa Nje.

Pengine ni matokeo ambayo wengi hatukuyatarajia kwenye mashindano ya Miami Open 2021. Upande wa wanawake, Naomi Osaka amefungashiwa virago vyake huku Daniil Medvedev akiungana naye kwa upande wa wanaume. Osaka ambaye ni mchezaji namba 2 kwa ubora duniani, amejikuta akikatishwa...
Miami Open

Miami Open: Osaka na Barty Wasonga Mbele.

Mambo yanazidi kunoga kunako mchezo wa tenesi. Mashindano ya Miami Open, 2021 yanaendelea kushika hatamu. Kushinda na kushindwa zote ni sehemu za mchezo. Mjapan, Naomi Osaka ameendelea kuwa mwiba kwa upande wa wacheza tenesi wanawake. Katika mpambano dhidi ya Elise...
Miami Open

Miami Open: Medvedev Afuzu, Norrie Atolewa.

Mambo yanazidi kunoga kwenye mchezo wa tenesi. Safari hii tunaangazia mashindano ya Miami Open 2021. Mzunguko wa tatu umekuwa na matokeo ya aina yake, wengine wanafuzu huku wengine wakifungasha virago na kuambiwa asanteni kwa kushiriki. Imekuwa hivyo kwenye mchezo wa...
Nadal Aungana na Federer Kujitoa Miami Open.

Nadal Aungana na Federer Kujitoa Miami Open.

Mcheza Tennis namba 3 kwa ubora duniani, Rafael Nadal ametangaza kujiondoa katika mashindano ya Tennis ya Miami Open yanayoandaliwa na Itau. Nadal aliandika katika ukurusa wake wa twitter kuhusu kujitoa katika mashindano hayo kutokana na majeraha.   "Najisikia huzuni kutangaza kwamba sitacheza...
Roger Federer

Roger Federer Awasha Moto Qatar Open.

Mchezaji wa tenesi raia wa Uswisi - Roger Federer amerejea tena uwanjani ikia ni miezi 14 tangu alipocheza mchezo wake wa mwisho. Federer alikuwa nje ya uwanja baada ya kufanyiwa upasuaji wa goli mara 2 na aliikosa michuano kadhaa kabla...
Novak Djokovic

Novak Djokovic Aifikia Rekodi ya Federer.

Mchezaji wa tenesi raia wa Serbia, Novak Djokovic ameifikia rekodi ya mchezaji mwenzake raia wa Hispania, Roger Federer ya kuwa mchezaji wa 1 duniani kwa muda wa wiki 310. Djokovic anauhakika wa kuvunja rekodi hiyo kuanzia wiki ijayo na sasa...
Andy Murray

Andy Murray Hashangai Djokovic Kuwa Bingwa wa Australian Open.

Katika hali isiyo ya kawaida, aliyewahi kuwa mchezaji namba 1 kwa ubora kwenye mchezo wa tenesi - Andy Murray, hakushangazwa na Novak Djokovic kutwaa ubingwa wa Australian Open. Djokovic alifanikiwa kutwaa ubingwa wa 18 wa Grand Slam kwenye fainali ya...

MOST COMMENTED

Newcastle Wakubaliwa Kumsajili Jamal Lewis.

Newcastle wamekubaliwa na Norwich dau la £13.5m walilotoa kumsajili beki wa kushoto Jamal Lewis. Lewis alikuwa akiwindwa na Liverpool mapima dirisha la Usajili lilivyofunguliwa, kwa...

HOT NEWS