Makala nyingine

Mchezaji namba moja duniani wa tennis Novak Djokovic atatumia wikiendi yote akiwa amefungiwa katika hotel jijini Melbourne huku mwanasheria wake akiwa anashughulikia kurudisha visa ambayo serikali ya Austaria iliyofutwa.  Djokovic …

Baada ya kuwepo sintofahamu kuhusu ushiriki wa bingwa mtetezi wa Australian Open, Novak Djokovic, sasa ni rasmi, ubingwa utatetewa kwa uwanjani. Mashindano ya Australian Open yataanza Januari 17 jijini Melbourne, …

Nyota kutokea nchini Hispania Rafael Nadal ametua kwenye jiji la Melbourbe nchini Australia ili kushiriki michuano ya Australian Open baada ya kupona ugonjwa wa Uviko-19 nyota huyo wa kutokea Hispania …

Wakati mashabiki na waandaji wa mashindano ya Australian Open wakiafuatilia kwa karibu muenendo wa Novak Djokovic, tayari ameshajitoa kwenye ATP. Mashindano ya ATP kwa nchi 16 yanatarajiwa kuanza Jumamosi hii …

Mchezaji nyota wa tenesi kutoka nchini Canada Denis Shapovalov amethibitishwa kuwa na maambukizi ya Uviko-19 baada ya kupimwa alipotua jijini Sydney nchini Australia alipokwenda kushirika masshindano ya ATP Cup. Denis …

Kiungo wa Barcelona Pedri ametajwa kuwa mshindi wa tuzo ya Golden Boy mwaka 2021 na kumbwaga Jude Bellingham wa Borussia Dortmund, Pedri mwenye umri wa miaka 18 anakuwa mchezaji wa …

Miezi ya hivi karibuni, kumekuwa na matamko ya kukinzana kuhusu washiriki wa mashindano ya Australian Open 2022. Uongozi husika, umetoa tamko. Wapo waliosema wachezaji wataruhusiwa kucheza hata kama hawajachanja (chanjo …

Bado kunaendelea kutanda hali ya sintofahamu miongoni mwa wachezaji wanaotarajia kushiriki mashindano ya Australian Open 2022, tutaruhusiswa au hatutaruhusiwa? Wiki iliyopita, Waziri Mkuu wa Australia – Scot Morrison alitamka hadharani …

Mchezaji namba 1 kwa ubora (wanawake) duniani, Ashleigh Barty, ameamua kumaliza msimu wa 2021 mapema kwa malengo binafsi. Barty alikuwa aingie uwanjani mwezi ujao kutetea taji lake la WTA lakini, …

Wakati suala la kupata chanjo ya COVID-19 likiendelea kuwa gumzo duniani, ni zamu ya wanamichezo watakaoshiriki mashindano ya Australian Open 2022. Uongozi wa Australia umetoa angalizo kuelekea mashindano ya Australian …

Ilikua ni kama ndoto ambayo sasa ni uhalisia, Daniil Medvedev atwaa ubingwa wa US Open 2021 mbele ya Novak Djokovic. Pengine hakuna aliyemdhania Medvedev kwenye mchezo wa fainali, lakini lolote …

Baada ya kukuru kakara za mashindano ya US Open kuanzia hatua za awali, hatimaye miamba miwili kuchuana kwenye fainali Jumapili hii. Djokovic vs Medvedev! Mchezaji bora wa dunia (wanaume), Novak …

Ni ukweli usiopingika, unaposikia mchezo wa tenesi, unafikiria majina kama Naomi Osaka na Serena Williams. Safari hii, fainali ya US Open imekuja na majina mapya! Wakati dunia ikiendelea kutafuta suluhisho …

Mambo yanapamba moto kunako mashindano ya US Open 2021. Novak Djokovic, uso kwa uso na Alexander Zverev ijumaa hii. Djokovic ananafasi ya kulipa kisasi kwa Zverev baada ya wawili hapa …

Baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya US Open 2019, hii ni nafasi kwa Daniil Medvedev kurekebisha makosa na kunyanyua kombe, itawezekana? Medvedev alitinga fainali yake ya kwanza ya Grand …

Ni muendelezo wa michezo ya tenesi kunako kalenda ya mwaka 2021, safari hii, US Open inaendelea kuunguruma kule Marekani. Mambo ni moto viwanjani. Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (wanaume), …

Kuelekea moja ya mashindano makubwa kwenye ulimwengu wa tenesi. Djokovic na Murray kushiriki mashindano ya US Open. Andy Murray anapata nafasi ya kuingia kwenye mashindano haya baada ya Stan Wawrinka …

Kuelekea mashindano ya Tokyo Olympics 2021, Andy Murray kuchuana na Felix Auger-Aliassime kwenye mzunguko wa kwanza kunako tenesi. Murray ambaye anamedali 2 za dhahabu kwenye mashindano ya Olympic (2012 na …

1 2 3 4 5 6 9 10 11