Klabu ya Celtic FC ya Scotland imeingia kwenye mazungumzo na kocha wa zamani wa Bournemouth, Eddie Howe kuona kama wanaweza kupata huduma ya kocha huyo.

Bingwa huyo wa Ligi ya Scottish msimu wa 2019/2020, halishindwa kuendeleza makali yake msimu huu 2020/2021 baada ya Rangers FC inayonolewa na nyota wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard kubeba ubingwa huo katikati ya mwezi machi.

Celtic walifanya mazungumzo na kocha wa zamani wa Bournemouth katika jitihada za kutafuta kocha atayeweza kurithi mikoba ya Neil Lennon ambaye alijihudhuru nafasi ya ukocha mwezi februari wakati timu ikiwa nyuma ya Rangers kwa pointi 18.

Kocha wa muda John Kennedy amesema hajapewa taarifa rasmi kuhusu ujio wa kocha mpya klabuni hapo. Celtic wameonekana kuvutiwa na Eddie Howe na inawezekana akakabidhiwa timu hiyo hivi karibuni.

Inategemewa Celtic itafanya mabadiliko mengi katika benchi lake la ufundi na wachezaji mwishoni mwa msimu huu. Taarifa rasmi zinasema nahodha wa timu hiyo Scott Brown atastahafu kucheza msimu huu na kwenda kocha wa timu ya Aberdeen msimu ujao.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Celtic, Celtic Kupata Huduma Ya Eddie Howe?, Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa