Nyumbani Champions League

Champions League

wOLVES

Wolves Mbioni Kukamilisha usajili wa Mosquera

0
Klabu ya Wolves ipo mbioni kusajili beki wa kati mkolombia Yerson Mosquera kwa dau la Pauni milioni 4.5 tu! Wolves wanahitaji beki wa kati katika kuboresha kikosi chao kuelekea msimu wa 2021/2022, ambapo ratiba ya ligi hiyo imeshatoka huku timu...
Pique

Pique: Koeman Akinambia Nisepe, Nitasepa

2
Beki kisiki na wa muda mrefu wa Barcelona, Gerald Pique amedai kuwa klabu pekee anayotamani kucheza na kustaafu ni Barcelona na hana mpango wa kwenda timu nyingine yoyote endapo kocha Koeman atamfukuza. Beki huyo wa kati alieleza yaliyopo moyoni mwake...
Jan Oblak MVP 2021

Oblak Atajwa Mchezaji Bora La Liga 2021

1
Golikipa wa timu ya Atletico Madrid, Jan Oblak ameibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Hispania kwa msimu wa 2020/2021. Siku kadhaa tu zilizopita Oblak alitangazwa kuwa kipa bora wa msimu, akiwa na clean sheets 18, huku amejitengezea 80%...
Ronaldo aweka rekodi

Ronaldo Anatamani Kuweka Rekodi – Mourinho

2
Bila shaka miongoni mwa majina ya wachezaji wakubwa sana duniani, Cristiano Ronaldo ni jina ambalo haliwezi kosekana. Jamaa anajua kukiwasha licha ya sehemu anayofikiaga. Kocha wa zamani wa timu za Madrid, Chelsea, United, Tottenham na sasa As Roma, Jose Mourinho...
Grealish kama figo tu

Grealish Ni kama Luis Figo Tu

3
Kocha wa sasa wa As Roma, Jose Mourinho amemfananisha mchezaji wa Aston Villa Jack Grealish na nguli wa soka wa zamani legendari Luis Figo. Zikiwa zimesalia saa chache tu kabla ya michuano ya EURO 2020 kuanza rasmi, Mourinho ametaja kikosi...
Messi Alamba Dili ya Kuwa Balozi wa Hard Rock Cafe

Messi Alamba Dili ya Kuwa Balozi wa Hard Rock Cafe

3
Lionel Messi amekuwa balozi mpya wa Hard Rock Cafe. Mshindi mara sita wa Ballon d'Or - na ndiye mchezaji pekee katika historia ya mpira wa miguu - amepeleka soka katika upande huo kwa sasa. Badala yake alichukua gitaa ya umeme...
Miji

Miji 11 Ulaya Itahusika Kumsaka Bingwa wa Euro 2020/21

3
Ni kwa mara ya kwanza kwenye historia ya michuano ya Euro hii mechi zinapigwa kwenye nchi 11 ikiwa ni saa na miji 11 Utaratibu wa mwanzo ulikuwa ni nchi moja mwenyeji au nchi mbili mfano 2012 ilikuwa Poland na Ukraine Sasa...

Marcelo ni wa Madrid Haendi Popote!

1
Marcelo ataendelea kukaa Real Madrid kwa msimu wa 2021/22 huo ndiyo mwaka wa mwisho kwenye mkataba wake ambao unaisha mwezi Juni 2022. Beki huyo wa kushoto alitajwa kama mmoja wa wachezaji ambao wangeweza kuhama msimu huu wa joto, lakini aliwasiliana...
UEFA

UEFA Yaamuru Faini Ya Pauni Milioni 22 Kwa Big Six

1
Hatimaye UEFA imepiga jumla faini ya Pauni Milioni 22 kwa timu sita za ligi kuu ya Uingereza ambazo zilishiriki kwenye sakata la European Super League. timu sita za premier league ambazo zilishiriki kwenye sakata la European Super League kabla ya...
Maurizio Sarri

Maurizio Sarri Kocha Mpya Lazio Mpaka 2023

0
Klabu ya Lazio inayoshiriki ligi ya Italia Serie A imemtangaza Maurizio Sarri kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia msimu ujao wa 2021/2022. Maurizio Sarri anachukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Simeone Izaghai ambaye amejiunga na Inter Milan...

MOST COMMENTED

Ancelotti Arudi Madrid, Yupo Mpaka 2024

6
Zikiwa zimepita saa 72 toka Zinedine Zidane ajiuzuru kama kocha wa Madrid, sasa ni rasmi Madrid wamemtangaza Carlo Ancelotti kurudi katika timu hiyo na...

HOT NEWS