Zinedine Zidane amesisitiza hakuwahi kuwa Maalumu “special”,amesema alikuwa na bahati tu kuinoa Madrid.

Zidane amepelekea Madrid kufanikiwa kutwaa taji la LaLiga msimu likiwa ni taji la 11 akiwa kama kocha wa wababe hao wa Hispania .

Lakini Mfaransa huyo amekataa maoni yoyote ya kuwa anajihisi kama “Special One” jina mabalo Jose Mourinho alikuwa akilitumia katika kujitambulisha.

Zidane, Zidane – Mimi Sio “Special One” Ni Bahati Tu., Meridianbet

“Hapana, hapana sijihisi kama hivyo. Najiona nina bahati kuwa hapa na wachezaji hawa kila siku,” Zidane alisema kwenye mkutano wa habari.

“Na kuwa kwenye hii klabu, ndiyo maana nafurahia sana kila siku. Sababu siku moja kila kitu kita isha, kama ilivyo wahi kutokea,lakini kwa sasa nafaurahia sana.

Madrid waliweza kutwaa taji la Laliga mara ya mwisho ilikuwa msimu wa 2016-2017 kabla ya kufanikiwa tena msimu huu, na kipindi hicho Christiano Ronaldo aliweza kuwasaidia kwa kiasi kikubwa.

Kuelekea katika mwisho wa kumaliza ligi hiyo kwa michezo yote itakayo chezwa siku ya Jumapili Real Madrid watakuwa ugenini kukabiliana na Leganes waliopo kwenye mstari wa kushuka daraja wakiwa na alama 35 katika michezo 37 nyuma ya Celta Vigo wenye alama 36

Ratiba ya LaLiga kumaliza msimu wa 2019-2020 siku ya Jumapili 

Alaves vs Barcelona 

Real Valladolid vs Real Betis 

Villarreal vs Eibar                                                                                                                                                                                                                                     

Atletico Madrid vs Real Sociedad

Espanyol vs Celta Vigo 

Granada vs Athletic Bilbao

Leganes vs Real Madrid

Levante vs Getafe

Osasuna vs Mallorca

Sevilla vs Valencia


Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

50 MAONI

  1. Zidane ni kocha ambae kaipa mataji mengi madrid pia ameipa champion league mara 3 mfululizo na ni kocha ambae anaijua kazi yake

  2. Ameona kitu sababu Kuna makocha wamejiita hivyo mpaka Sasa kila timu wanayoenda kufundisha wamwfanya vibaya sanaa

  3. Kwa kipindi hichi alicho kua madridi zidane lazima hataonekana ni special one tu kwa uwezo wake na juudi zake alizo pelekea Madrid kufanikiwa kutwaa taji la laliga ikiwa kama taji la 11 akiwa kocha was wababe hapo hispania

  4. Zidane ni kocha mzuri ambaye anajituma sana kwa wachezaji kuwabadilishia mbinu mbali mbali mpaka kupata ubigwa lakini zinade pia anamapungufu yake kama akiamua usicheze uwanjani kwa sababu zake kweli huhateza kwa sababu tu umemuuzi akijisahau kama pia unaumuhimu lakini pia ni mzuri mana amewatetea vijana wake ukiangalia kwa kipa alivyosema lakini alijua kuwa alikosea na akaweza kufafanua kuwa ni kipa mzuri na anajituma hivyo ni kocha mzuri sana asiye tabirika.meridianbettz

  5. Zidane yupo sawa kabisa na anachokisema ikiwa anahitaji kujifunza zaidi ni kocha ambae anajua kile anachotakiwa kukifanya ,kwahiyo kisema yeye sio Special one anamanisha anachosema

  6. Zidane ni Kocha mzuri na mwenye mbinu nzuri, Nimemkubali baada ya kusimama imara na kujaribu kukirudisha kikosi chake kwenye hadhi ya ushindani hasa kwenye Laliga baada ya kusuasua kwa muda mrefu bado natazama kuona kama atafanya maajabu kwenye UEFA.

  7. Binafsi sioni kitu bora kwa zidane naona bahati na individual skills za mchezaji mmoja mmoja zikiiokoa team tofauti na klopp na Pep

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa