Uchambuzi: Atalanta Kumaliza Nne za Juu Serie A.

Wakati Juventus wakiwa tayari wametangaza ubingwa huku wakiwa na michezo miwili mkononi, bado vita ya kumaliza nafasi za juu Serie A inazidi kupamba moto.

Inter walikaa katika nafasi ya pili mwishoni mwa wiki kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Genoa, wakati Atalanta walitoa sare dhidi ya AC Milan Ijumaa iliyopita na kukaa nafasi ya tatu kwenye msimamo.

Conte amekuwa akipambana kukaa nafasi za juu iliaweze kushiriki michuano ya Ulaya, aliongea wiki iliyo pita “Nafasi ya pili ni kama haina maana katika macho yangu, ni kama kupoteza”

kocha wa Atalanta Gian Gasperini alijibu ujumbe wa Conte kwa kusema Kumaliza katika nafasi ya pili katika ligi yatakuwa ni mafanikio makubwa kwa upande wa timu yake lakini kabla klabu mbili hizi hazijakutana mwisho wa wiki zote zitakuwa dimbani jioni ya leo.

Kwa upande wa Atalanta hakuna kitu kama hicho. Bergamo wao wanachokiangalia ni kumaliza katika nafasi za juu haswa nafasi ya tatu ambayo ni nafasi nzuri katika historia yao na wachezaji wanautolea macho mchezo wa Jumapili katika kuhitimisha ratiba ya Serie A na kuenda katika nafasi bora zaidi.

Atalanta watawatembelea Parma waliyo katikati mwa msima wa ligi ambapo mchezo wao wa awali Atalanta alishinda 5-0 mwezi Januari.

Lakini pia wameshinda michezo yao mitatu waliyokutana na wachezaji wawili wa kutoka katika timu hiyo wamefanana katika ufungaji wachezaji hao ni Duvan Zapata na Luis Muriel wote wana magoli 18 kila mmoja.

Washambuliaji hao wa Colombia wanaweza kuwa wachezaji wa kwanza kwa pamoja kufikisha magoli 20 au zaidi katika Serie A wakiwa katika timu moja kwa msimu mmoja tangu Alessandro Del Piero na David Trezeguet wakiwa katika klabu ya Juventus mwaka 2007-08.

Kocha wa Napoli Gennaro Gattuso ameshinda Serie A mara mbili na Champions League wakati alipokuwa mchezaji wa AC Milan ndani ya kipindi cha miaka 13, lakini bado anapambana kutwaa taji la kwanza akiwa kama kocha.

 


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza hapa sasa

41 Komentara

    Hongera yao atalanta

    Jibu

    Atlanta top 4 watapita tu

    Jibu

    Conte amekuwa akipambana kukaa nafasi za juu iliaweze kushiriki michuano ya Ulaya, aliongea wiki iliyo pita “Nafasi ya pili ni kama haina maana katika macho yangu, ni kama kupoteza”

    Jibu

    Atalanta kabakiza goal chache tu afikishe 100+ goals per season

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    big up atalanta

    Jibu

    Hii mechi hitakua si ya haina yake kwani kila mtu anagomabania nafasi yake ukiangalia Atlanta wao wanagombani nafasi ya pili ikiwa Bergamo wao wanna choking alia ni kumaliza nafasi za juu haswa nafasi ya tatu amabayo ni nafasi mzuri katika historia yao

    Jibu

    atalanta yupo nafasi nzuri

    Jibu

    Hongera sana Atalanta

    Jibu

    Ongera yao Atalanta

    Jibu

    Hongera yake mana kuna timu nyingi tu zilitamani kuwa nafasi ya NNE lakini wamekosa

    Jibu

    Atalanta ni timu kubwa sana,lazima afike top 4.

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Ni hatua nzur

    Jibu

    Ongera kwao atalanta kwa kusogea

    Jibu

    Safi

    Jibu

    baada ya kuifunga mabao 4-1 timu ya Sassuolo kana kwamba mechi hiyo ilikuwa tukio kuu. Lakini kuanza tena kwa mechi za soka huko Bergamo ni habari kubwa zaidi kuliko kilichotokea uwanjani. Siku 103 zimepita tangu Atalanta iibuke na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Valencia katika mashindano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya mechi inayoelezwa kuharakishwa kuenea kwa virusi vya corona na kugeuza Bergamo kuwa sehemu kubwa ya janga hili.
    Nani angesahau picha za malori ya jeshi la Italia kusafirisha mamia ya majeneza nje ya mji kwa sababu nafasi ya kuzikia miili ya watu ilikosekana? Takribani watu 6,000 walifariki dunia mnamo mwezi Machi mwaka huu ila kwel kwamba n habar njema sana kwa Atalanta kuinuka zaid

    Jibu

    Wakaze buti tu

    Jibu

    Atalanta pambaneni mfikishe rekodi ya goal nzuri zaidi

    Jibu

    Atlanta top 4 wakaze buti tuuuu hapo

    Jibu

    Maoni:safi

    Jibu

    Hongera yao

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hongera yake Sana.

    Jibu

    Wanastahili pongezi.

    Jibu

    Ni hatua nzuri Sana kwa Atlanta

    Jibu

    Wanastahili pongezi

    Jibu

    Safi sana Atlanta

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera yake sana#Meridianbettz

    Jibu

    Nice Atalanta.

    Jibu

    Atalanta wslionyesha kabisa Kama wanahitaji kumaliza nafasi za juu ili washiliki UEFA

    Jibu

    Atalanta wako vizuri sana

    Jibu

    Hongera Sana Atalanta

    Jibu

    Hongera yake atalta#meridianbettz

    Jibu

    Mmpamban sana kuisak iyo nafasi

    Jibu

    Wanastahili pongezi

    Jibu

    Nilidhani Conte na Inter yake msimu huu ingenyang’anya JUVENTUS ufalme wa Serie A lakini mambo hayajakwenda vile nilivyotarajia. Atalanta imekuwa ikifanya vizuri sana miaka ya karibuni#meridianbettz

    Jibu

    pongezi kwao

    Jibu

    Atalanta wamekuwa na msimu mziru sana mwaka huu

    Jibu

    Kwa Habari za uchambuzi mko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe