Calderon: Bartomeu Amekuwa Rais Mzuri kwa Barcelona.

Josep Maria Bartomeu anachukuliwa kama “kondoo mweusi” na hatendewi haki kwa kukosolewa katika klabu ya Barcelona hii ni kwa mujibu wa Ramon Calderon.

Bartomeu yupo kwenye sintofahamu ya kupigwa chini Camp Nou baada ya Messi kuomba kuondoka Blaugrana mwisho wa mkataba wake hii ni baada ya kuwa na msimu mbaya kwa klabu hiyo kwa kukosa taji lolote.

Mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d’Or mara sita ameomba kuihama klabu hiyo siku chache baada ya Barcelona kupokea kipigo cha aibu cha 8-2 kutoka kwa mabingwa wa Championbs League Bayern Munich.

Lakini Calderon, ambaye kipindi cha nyuma aliwahikuwa Rais wa Real Madrid, amepata huruma kwa kinachoendelea kwa Bartomeu, ambaye nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine baada ya uchaguzi mwezi Machi mwaka ujao.

“Kukaa kwenye kiti hicho ni kazi ngumu sana,” Calderon aliiambia Stats Perform News. “Ni ngumu sana kuliko watu wanavyo chukulia.

“Bado Kuna mbinu nyingi, kipindi mambo yanaenda poa sifa huenda kwa wachezaji.Hilo ni kawaida rais kuwa kondoo mweusi.

“Huyu ni mtu ambaye anashitakiwa kama hatosajili mchezaji au kutoruhusu mchezaji ambaye hatakiwi na mashabiki kuihama klabu. Sipendi kabisa jambo hili.

“Sina maelezo niliyo ya chambua vizuri lakini nadhani Bartomeu amekuwa rais mzuri sana katika klabu ya Barcelona, kuanzia nilipo mjua na jinsi ninavyo muaona.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

38 Komentara

    Anastahili kwa kazi nzuri

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    sawa ndo mpira mashabiki wa barcelona inapaswa wasilaumu sana timu ilikiwa vizuri kwa misimu mingi sana wajipange msimu hujao sasa

    Jibu

    Ni raisi mzuri sana wa Barcelona Ila anatakiwa kufanya kazi ya kubadilisha upya vikosi vyake ili kuimarisha klabu

    Jibu

    Kuondoka kwa messi kutaleta zahama ya viongozi kupoteza vibaruwa vyao mana inaonekana watu wengi kuchukizwa na tendo la messi kuondoka Ni kwamba kabla ya timu ya back na Bayern kukutana messi alisema kwamba bodi zima ibadilishe ili timu iwe bora inavyoonekana viongozi ndio chanzo cha matokeo mabaya ndio mana messi anasepa.#meridianbet

    Jibu

    Bartomeu ni kiongozi mzuri kwa Barca lakini hili sakata la kuchezea kichapo cha goli nane kitawafanya watu kutimuliwa hata kama majukumu yako uliyafanya vizuri itaonekana amna kitu

    Jibu

    Hongera kwake Ila Barcelona wasikate tamaa wajipange vizur kwa msimu ujao mbona miak mingi timu ilikuwa fiti

    Jibu

    Anayosema Calderon ni kweli kabisa

    Jibu

    Ni raisi mzur sana Barcelona.

    Jibu

    Jongera sana calderon umefanya mengi

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Bartomeu nikiongozi mzuri Sana kwa Barcelona na Barcelona ni krabu kubwa Sana kwakupigwa zie goli 8-2 zimewafedhehesha watu Sana nakila moja ataiyona timu chungu kwa sekeseke Hilo nawatu kutimuliwa kuondoka kwaio wanze upya sasa

    Jibu

    Ni jambo la kushangaza kwa aliyekuwa Rais ya Real Madrid kumusifia Rais wa timu hasimu yake Barcelona. Kwa bahati mbaya Ramon Calderon mwenyewe alilaumiwa kutokuwa kiongozi mzuri akiwa Real Madrid#meridianbettz

    Jibu

    Siku zote mazuri ya mtu usaulika mapema sana

    Jibu

    Hapa matukio yote yanatokea kwasababu ya kuondoka kwa Messi Barcelona hilo ndo tatizo la kumtegemea mchezaji mmoja

    Jibu

    Anastail pongez kwake ila hv now wapo kwny kipind cha mpito walioweng wanamlaumu Kama ww na bodi yake hawapo vzr ila ni kiongoz mzur sana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    siku zote mazuri ya mtu usahurika kwa mara moja#meridianbettz

    Jibu

    Kwa sababu ya Messi Barcelona wameanza kukusoana Barca Washa yumba wasilaumiane waweke mambo sawa tu

    Jibu

    Sifa njema sana hizi

    Jibu

    Daaah..!wana ali ngumu sana sasa hivi uwongozi wa Barcelona kwanza kupoteza mchezaji hambaye si watarajio yao kuondoka hivi punde pili wanofia na mashabiki pia kuondoka

    Jibu

    Yote kwaajir ya mess anaonekan raisi ana mana

    Jibu

    Kiongozi mzuri sana

    Jibu

    Nayeye aende.

    Jibu

    Hili swala linanifurahishaga sana

    Jibu

    Habari njema hizo

    Jibu

    Hanastaili kupata pongezi

    Jibu

    Anastaili kwa kwer

    Jibu

    sawa ndo mpira mashabiki wa barcelona inapaswa wasilaumu sana timu ilikiwa vizuri kwa misimu mingi sana wajipange msimu hujao sasa

    Jibu

    Rais wa backa amefanya mengi mazuri

    Jibu

    Calderon Amejitahidi sana

    Jibu

    anastahili pongezi yupo vizuri saa katika swala zima la ongozi

    Jibu

    Uwongozi anaujua yuko vizuri.

    Jibu

    Namuelewa huyo

    Jibu

    Ndio tunavyotaka hivyoo!!!

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Good newz

    Jibu

Acha ujumbe