Lionel Messi amekuwa na mwaka mzuri 2021 kwa timu zote klabu ya Bracelona na timu ya taifa ya Argentina akiwa amezitisa nyavu mara 33 na kusaidia mabao mengine 13 kwenye michezo 36 ya mashindano yote.
Nhodha huyo wa Barcelonaalifunga mabao 28 na kutoa asisti tisa akiwa na The Blaugrana mwaka huu 2021 na mabao matano na asisti nne akiwa na Argentina.
Messi alifunga mabao 23 katika michezo 30 ya LaLiga Santander kwa mwaka 2021na alikuwa mfungaji bora wa msimu mwingine.
Lakini pia alifunga mabao 3 kwenye michuano ya Copa del Rey akiongoza Barca kutwaa taji hilo na alifunga mabao mawili kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa wakati timu hiyo ya Katalani ikitolewa katika raundi ya 16 kwenye mikon ya Paris Saint-Germain.
Mkataba wa Messi na Barcelona umefika tamati rasmi,lakini pande zote zipo kwenye mazungumzo ya dili mpya na mchezaji huyo wa miaka 34 kwa sasa yupo katika michuano ya Copa America akiiwakilisha Argentina.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!