Mbappe: Furaha Yangu ni Kuona Tunashinda

Kylian Mbappe alikuwa katika hali ya furaha sana baada ya kufunga mabao mawili na kuisadia timu yake Paris Saint-Germain kupata ushindi mzuri wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumatano.

Mbappe: Furaha Yangu ni Kuona Tunashinda

Mshambuliaji huyo wa Ufaransa aliifungia PSG bao dakika ya tatu katika kipindi cha kwanza kabla ya Marquinhos kufunga bao la pili dakika ya 28 ya mchezo Choupo-Moting mchezaji wa zamani wa PSG alifunga bao kwa Bayern kabla ya Muller kusawazisha dakika ya 60 na dakika za lala salama Mbappe aliweka bao la tatu na la ushindi.

Mbappe aliendeleza kasi yake ya kufunga kwenye michuano hiyo mikubwa ya Ulaya na sasa amefikisha mabao 8 katika mechi zake nne zilizopita.

“Juu ya yote hii ni kiwango kizuri cha timu tulichokinesha, nilikuwa tayari kunufaika kutoka kwa kazi ya kila mtu furaha ni kuona tuna shinda,” Mbappe aliiambia RCM Sport baada ya mchezo.

“Mchezo wa pili? kwa kuanza itabidi tucheze vyema dhidi ya Strasbourg wikendi hii kisha tutahitaji kushambulia kwa kujiamini, ingawa tunakabiliana na timu kubwa. Hii ndio ligi ya Mabingwa kila timu ni kubwa.”


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Yuko sahii

    Jibu

    Mbappe yupo sahihi sana

    Jibu

    Kushinda watashinda ila mziki watauona

    Jibu

Acha ujumbe