Merson: Ronaldo Aliharibu Mipango ya Solskjaer

Paul Merson amesema kwamba Manchester United wameanza vibaya msimu kutokana na kumsajili Christiano Ronaldo anachoamini Merson ni kwamba Ujio wa Chrisano ulikuja kuharibu mipango ya Ole Gunnar Solskjaer.

Merson: Ronaldo Aliharibu Mipango ya Solskjaer
Christiano Ronaldo

Solskjaer alitimuliwa na Manchester United kufuatia kipigo cha aibu cha 4-1 kutoka kwa Watford na kocha wa sasa wa PSG Mauricio Pochettino akipewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba mwakani baada ya msimu kuisha.

Baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliyopita na usajili wa Raphael Varane, Jadon Sancho na Christainao Ronaldo Viongozi wa Man United walikuwa na matarajio makubwa msimu huu.

Lakini Merson anamtazamo wa tofauti kwenye hilo na anaamini Solskjaer alikuwa na mipango mizuri kuanza kwa msimu akifanikiwa kumpata Sancho aliyekuwa akimuhitaji kwa muda mrefu pia kumuongeza mwaka mmoja Cavani.

Merson: Ronaldo Aliharibu Mipango ya Solskjaer

“Unaona mipango yake unamchezesha Cavani kila mechi, una Sancho ndani, Rashford unaye Mason Greenwood unaiona timu yenye nguvu yenye vijana na hamu kubwa ya ushindi.”

“Lakini Kabla msimu haujaanza unaletewa Ronaldo nadhani hiyo ndiyo ilikuja kuharibu mikakati kutoka siku ya Kwanza hawapo vizuri wakiwa na Ronaldo ndani hakuana tena mashambulizi ya kushtukiza.

“Ronaldo ni mchezaji mwenye historia OT lakini tunahitaji timu ambayo itashinda mataji siyo kuwa na mtu atakaye simama mbele na kufunga magoli 20.”


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe