Pep, "Koeman Anahitaji Muda Barca"

Ronald Koeman ni kama yupo kwenye kiza ndani ya klabu ya Barcelona. Matokeo ya michezo ya hivi karibuni, yanaipoteza picha ya Barcelona tuliyoizoea kwenye ulimwengu wa soka. Pep Guardiola anaamini ni suala la muda tu.

Pep na Koeman waliwahi kucheza pamoja katika kikosi cha Barca kabla ya mwaka 1995 ambapo Koeman alijiunga na Feyernood.

Kwa sasa wote ni makocha, Pep aliwahi kuiongoza Barca kwa miaka 4 na kubeba mataji 14. Koeman ndio yupo kwenye kiti hicho kwa sasa wakati ambao Guardiola yupo Man City.

Kufuatia matokeo mabaya kwa Barca, Pep anaamini Koeman anahitaji muda wa ziada ili kuipata Barcelona anayoitaka. Guardiola anaamini Barcelona inaweza kurudi kwenye ubora wake endapo uongozi wa Barca utampatia muda wa kutosha Koeman.

“Muda mwingine unahitaji muda zaidi ili kufanikisha kila kitu. Hasa Barcelona chini ya Ronald, kwa ugeni wake, anahitaji muda zaidi.

“Nina hakika watarejea wanapostahili kuwa.” amesema Guardiola.

Koeman ataiongoza Barcelona katika mchezo wake wa kwanza wa El Clasico kama kocha wa timu hiyo leo jioni. Real Madrid nao wanapambana na magumu yao na pengine mchezo wa leo utaleta tumaini jipya kwa timu hizi.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

24 Komentara

    Kweli kabisa maana timu imeisha sana ile kwasasa

    Jibu

    Kweli

    Jibu

    Ameongea kweli kabisa

    Jibu

    Duh!!!mambo c mambo

    Jibu

    Yuko sahii kabisa

    Jibu

    hujio wake hunaweza hukaleta mafanikia makubwa timu himeshuka sana viwango vyake

    Jibu

    Yuko sahihi kabisa

    Jibu

    Ameongea kweli yan

    Jibu

    True say

    Jibu

    Nikweli yupo sahii wa mpe muda

    Jibu

    Koeman tatizo mbishi ataki kusikiliza ushauli wa watu

    Jibu

    Kweli kabisa

    Jibu

    Lawama jana sikwa kocha wachezaj wa Barcelona wamechez chn ya kiwango jana ndo maana wamepoteza mchezo ule jana kocha na benchi lake la ufundi wanapaswa kupew muda kuzid kufanyia kazi makosa yaliyojitokeza jana iliyasiwez kujirudia michezo ijayo

    Jibu

    Yuko sawa

    Jibu

    Kweli kabsa

    Jibu

    Muda unahitajika kwake

    Jibu

    Ni vyema kabisa kama akipata muda

    Jibu

    Sawa sawa kabisa

    Jibu

    Kwel kbs

    Jibu

    Sahihi kabsaa

    Jibu

    Kweliii kabisa

    Jibu

    Ila Barca wanapotea sana

    Jibu

    Hakika ni kweli.

    Jibu

    Lawama jana sikwa kocha wachezaj wa Barcelona wamechez chn ya kiwango jana ndo maana wamepoteza mchezo ule jana kocha na benchi lake la ufundi wanapaswa kupew muda kuzid kufanyia kazi makosa yaliyojitokeza jana iliyasiwez kujirudia michezo ijayo

    Jibu

Acha ujumbe