Pochettino: PSG Tutapamabana Hadi Kufa Tushinde UEFA

Mauricio Pochettino ameahidi kwamba Paris Saint-Germain “itapambana hadi kufa” kushinda Ligi ya Mabingwa.
Pochettino: PSG Tutapamabana Hadi Kufa Tushinde UEFA
Mshambuliaji Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifunga Barcelona.

PSG itatafuta nafasi yao katika robo fainali ya mashindano ya Mabingwa wa Ulaya wakati watakapowakaribisha washindi mara tano Barcelona katika raundi yao ya 16 ya raundi ya pili katikati ya wiki.

Mabingwa wa Ufaransa walifika kwenye fainali msimu uliopita, lakini walipata kipigo kidogo kwa Bayern Munich, na Pochettino ameazimia kuisaidia timu hiyo kupiga hatua zaidi mwezi Mei..

PSG iliifunga Leipzig bao 1-0 nyumbani kabla ya kupata ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford na kuichapa Basaksehir 5-1, na mechi ya hatua ya mtoano dhidi ya Barcelona.

Kikosi cha Pochettino kisha kilipunguza kazi ngumu kwa kuigaragaza Blaugrana 4-1 katika dimba la Camp Nou katika raundi ya kwanza ya mechi yao 16 bora, na watatarajiwa kumaliza kazi huko Parc des Princes Jumatano usiku.

Pochettino alisema wakati wa mahojiano kabla ya mechi na LFP: “Ni wazi, ni matarajio ya klabu kushinda. Kuna timu nyingi ambazo zinataka kushinda, sio rahisi. Tunafahamu jukumu letu , na tutapambana hadi kufa ili kuifanikisha.”


Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.

Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino ya Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.

CHEZA HAPA

9 Komentara

    Jamani hata mie nawaombea washinde UEFA

    Jibu

    Lengo la PSG kusajiri wachezaji mahiri kama vile Neymar na Mbappe ilikuwa na kutawala soka la Ulaya hasa ligi ya mabingwa Ulaya

    Jibu

    Kazi kwenu

    Jibu

    Sawaa

    Jibu

    Mawazo manzur sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Kila jema kwao

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Mawazo mazuri pia hayo

    Jibu

Acha ujumbe