Sancho Kurudi Mazoezini Dortimund Siku ya Alhamisi.

Jadon Sancho anatarajia kurudi mazoezini wiki hii hali ya kuwa kuna mazungumzo mapya ya uwezekano wa kuondoka kwenda Manchester United.

Nyota huyo wa Uingereza amekuwa akihusishwa na kuhamia na Mashetani wekundu licha ya makamu mwenyekiti Ed Woodward alishatoa onyo kuhusu uhamisho huo kutokana na kuyumba kiuchumi kutokana na madhara ya virusi vya Corona.

United walifunga msimu siku ya Jumapili kwa kulinda nafasi ya tatu katika Premier League na kurejea katika Champions League kwa msimu ujao kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester City.

Kutokana na kupewa nguvu ya kiuchumi kwa kuendelea kuwepo kwenye mashindano makubwa ya Ulaya, na malengo yao ya usajili sasa wameshawishika kufanya usajili na Man United wanatarajia kumnasa kiungo wa Dortimund kwa wiki zinazokuja.

Kwa sasa kiongozi wa michezo katika klabu ya Dortimund Michael Zorc ameonesha dalili za Sancho kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya kusema Sancho atakuwepo mazoezini siku ya Alhamisi.

“Tunatarajia Jadon Sancho kurudi mazoezini wiki hii siku ya Alhamisi,” aliiambia Kicker.

Dortimund wamesema wanataka dau lisilopungua €100m kwa uhamisho wa Sancho na United wanania ya kupunguza kiasi hicho cha fedha.

Mbadala wa kinda huyo wa zamani wa Manchester City imeripotiwa kuwa ni mchezaji wa Bayern Munich Kingsley Coman na Jonathan Ikone wa Lille.

Sancho alikuwa ni mmoja wa wachezaji waliyofanya vizuri kwa msimu wa Bundesliga 2019-20 akiwa ameweka kambani goli 17 na kutoa pasi za mabao 16 katika michezo 32 pekee

Na timu yake ya Dortimund imemaliza katika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich  kwa tofauti ya alama 13.

 


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza hapa sasa

54 Komentara

    Sancho ni mchezaji mzuri sana kama man u wangeweza kupata saini yake ingekua poa sana

    Jibu

    Safi sana sancho mazoez yawe mazuri#meridianbett

    Jibu

    Itakuwa vizuri Sancho akiweka sain yake Man U

    Jibu

    Arudi tu sancho

    Jibu

    Habari njema kwa klabu yake

    Jibu

    Ni habar njema kwa clabu yake

    Jibu

    Kutokana na Man U wamefanikiwa kuingia kwenye top 4 hivyo Jadon Sancho lazima atatua Man U

    Jibu

    Habari njema kwa klabu yake

    Jibu

    Sancho alikua mmoja wa wachezaji wazuri katika msimu wa bundesliga

    Jibu

    Safi sana sancho kila la kheri kwenye mazoezi yako

    Jibu

    Sancho mchezaji makini

    Jibu

    Sancho aende tu man u

    Jibu

    Arudi tu Sancho#Meridianbettz

    Jibu

    Sancho ni mchezaji mzuri sana.

    Jibu

    Sancho mchezaji mzuri

    Jibu

    Bola aludi sancho mashabiki tupate kuona mambo mazuri

    Jibu

    Ningependa Sana Kama angejiunga na Man U maana Ndio timu ya kiwango chakee

    Jibu

    Sancho yuko vizuri

    Jibu

    Man wamsajili Sancho ni kiungo mzuri sana

    Jibu

    Wamrudishe, ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Habari njema hii

    Jibu

    asante kwa habar moto moto

    Jibu

    Itakua vizuri sana kuludi

    Jibu

    Habari njema kwa kilabu yake

    Jibu

    Tetesi za usajiri wa Jadon Sancho zimevuma muda mrefu mpaka Dortmund imesajiri mbadala wake , nasubiri kuona wapi ataelekea#meridianbettz

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Uamuz mzuri,Kila kher Sancho!!!

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Sancho Kuna dalili zote kusalia ndan ya Dortmund

    Jibu

    Wanataka kiasi kikubwa Sana Dortmund

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Fundi wa mpira soon anatua man utd

    Jibu

    Fundi huyo atatua man utd muda cmrefu

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Maoni:nimchezaji mzuri sana

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    dah izi ndo habari nazotaka kuzisikia

    Jibu

    Safi sana Dogo#Meridianbettz

    Jibu

    Gud update.

    Jibu

    Sancho alihitaj zaid timu atakayo tua iwe inatashiriki uefa champions league na kwa man United wamefanikiwa kwa hilo kwa hiyo kuna asilimia kubwa kutua United

    Jibu

    Uamuzi mzuri sana

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Kila lakheri kwake mazoezi mema ila ingekuwa poa sancho angetia saini man u

    Jibu

    Dortimund wamesema wanataka dau lisilopungua €100m kwa uhamisho wa Sancho na United wanania ya kupunguza kiasi hicho cha fedha.

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Habar njm

    Jibu

    good news

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ningependa Sana Kama angejiunga na Man U maana Ndio timu ya kiwango chakee

    Jibu

    Sancho arud tu maana tulimmic sana

    Jibu

    Sio mbaya

    Jibu

Acha ujumbe