Tuchel: Neuer Golikipa wa Levo Nyingine.

Manuel Neuer amethibitisha utofauti wake kwenye fainali ya Champions League hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu wa Paris Saint-Germain, Thomas Tuchel amesema Neuer alionesha umahiri mkubwa sana katika fainali hiyo.

Mlinda lango huyo wa kimataifa wa Ujerumani aliokoa michomo kadha kutoka kwa Neymar kipindi cha kwanza cha mchezo kabla Mbappe hajapata nafasi ya pekee ambayo ingeweza kuzaa goli lakini kwa umahairi wa Neuer aliweza kuokoa mpaka dakika 90 zinamalizika PSG waliambulia patupu.

Kiungo wa Ufaransa Kingsley Coman alidhihirisha ubora wake kwa kuibuka kinara wa mchezo huo kwa kufunga bao pekee na la ushindi kwa upande wa timu ya Bayern kwenye fainali hiyo lakini Tuchel hana shaka na mtaifa mwenzake Neuer kwa ubora alionesha katika mchezo wa Jumapili mjini Lisbon.

“Tuna nyanda wetu Navas ni mzuri sana, lakini kiwango cha Neuer ni levo nyingine, sisi pia bahati haikuwa kwetu.”

Baada ya Coman kufunga goli, Neuer aliokoa kwa mguu wake wa kulia mpira uliyokuwa unaelekea wavuni na kupelea Bayern kuibuka na ushindi katika fainali ya Champions League na kuirudia rekodi yao ya kushinda mataji yote matatu mwaka 2012-13.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

41 Komentara

    Jana alionyesha uwezo mkubwa Sana kwa kupangua magoli

    Jibu

    Yuko vizuri na pia anajituma sana

    Jibu

    goalkepper makini sana anajua

    Jibu

    Tuchel Jana kiukwel yeye ndo aliyekamata bakora kuwachapa PSG kwan alionyesha uwezo mkubwa sana 👍

    Jibu

    Neuer ni jini akiwa langoni sio mikono tuu mara nyingi amekuwa akisave mipira ya hatari kupitia miguu

    Jibu

    Neuer yuko Fiti nie mlinda mlango makini sana

    Jibu

    Yuko vizuri na anapenda kazi yake
    @meridianbettz

    Jibu

    Maoni:safii sana kiwango chake kipo vizuri sana

    Jibu

    Tuchel Neuer ni gorikipa mzuri Sana anaefanya kazi yake kwaumakini

    Jibu

    Yupo vizuri sana#meridianbettz

    Jibu

    Ndio kipa bora duniani.

    Jibu

    Safi sana kiwango chake kipo vizuri

    Jibu

    Nuer kipa bora na mweny rekodi kubwa pale munich

    Jibu

    Neuer ni levo nyengine kabisa

    Jibu

    Kiwango walichocheza Jana Bayern akikutegemea na watu wengi ila pongezi nyingi sana kwa mlinda mlango wa Bayern neuer

    Jibu

    Psg hawakuwah na bahati usiku wa UEFA ingawa credit tunampa mlinda mlango wa Bayern kwa kulinda lango vzr

    Jibu

    Huyu golikipa yuko vzur sana

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Makini xana na kazi yake!!!!!

    Jibu

    Kipa bola now

    Jibu

    Nueur kipa bora kwa misimu kadhaa ni kiwango kizuri sana ameonyesha msimu huu

    Jibu

    yuko vizuri sana

    Jibu

    Ni kipa mzuri sana

    Jibu

    Unapokoa na kipa kapa huyu kwenye timu yako basi kuna uhakika mkubwa wa kusave point hata 11 ndani ya club katika msimu.

    Jibu

    Umahiri langoni wa Manuel Nueur unanikumbusha Oliver Kahn alivyokuwa stadi mkubwa langoni mwa Bayern na timu yake ya Taifa#meridianbettz

    Jibu

    Ki ukweli PSG walijitaidi sana kuonesha misuli yao ila ndio ivyo tena Bayern mziki mkubwa sio wa mchezo mchezo

    Jibu

    Namkubar Sana

    Jibu

    aongezee bidii

    Jibu

    Anajituma sana

    Jibu

    Neuer yupo vizuri mpaka kwenye miguu yake huwa anaokoa mpira kwa miguu

    Jibu

    Nidhamu ya final imewasaidia sana

    Jibu

    Kipa mzuri Sana

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Yupo makini sana

    Jibu

    Neuer level nyingine kabisaa

    Jibu

    Yuko vzuri

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Ameonyesha kiwango cha huu sana kuzuia magoli

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Huyu Mie Mwenyewe Namsalenda

    Jibu

Acha ujumbe