Katika hafla ya UEFA kusherehekea kuanza kwa msimu mpya wa mpira wa miguu, tuzo zilitolewa kwa wachezaji bora wa mwaka uliopita, na Jorginho akitoka kimasomaso na tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa wanaume, kwa kiwango chakcha kushinda Ligi ya Mabingwa na Chelsea na Euro 2020 na Italia.

UEFA: Jorginho Ashinda Mchezaji Bora wa Kiume

Kocha wake wa Chelsea Thomas Tuchel na wachezaji wenzake Edouard Mendy na N’Golo Kante pia walishinda tuzo, wakati Erling Haaland alikusanya tuzo kama mshambuliaji bora.

Tuzo za wanawake kwa mwaka uliopita pia zilitolewa, na heshima kubwa ikimwendea Alexia Putellas.

Orodha kamili ya ya washindi wa tuzo za UEFA
Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanaume: Jorginho (Chelsea na Italia)

Kocha wa Mwaka wa Wanaume: Thomas Tuchel (Chelsea)

Kipa wa Wanaume wa msimu wa Ligi ya Mabingwa: Edouard Mendy (Chelsea na Senegal)

Beki bora wa Wanaume wa msimu wa Ligi ya Mabingwa: Ruben Dias (Manchester City na Ureno)

Kiungo wa kati wa Wanaume wa msimu wa Ligi ya Mabingwa ya UEFA: N’Golo Kante (Chelsea na Ufaransa)

UEFA: Jorginho Ashinda Mchezaji Bora wa Kiume

Fowadi bora kwa Wanaume wa Msimu wa Ligi ya Mabingwa ya UEFA: Erling Haaland (Dortmund na Norway)

Mchezaji Bora wa Mwaka wa Wanawake: Alexia Putellas (Barcelona na Uhispania)

Kocha wa Wanawake wa Mwaka: Lluis Cortes (Barcelona)

Kipa wa msimu wa Ligi ya Mabingwa: Sandra Panos (Barcelona na Uhispania)

Mlinzi wa Wanawake wa msimu wa Ligi ya Mabingwa: Irene Paredes (Barcelona na Uhispania)

Kiungo wa kati wa Wanawake wa msimu wa Ligi ya Mabingwa: Alexia Putellas (Barcelona na Uhispania)

Fowadi bora wa Wanawake wa Msimu wa Ligi ya Mabingwa: Jennifer Hermoso (Barcelona na Uhispania)


NAMBA 40 ZA MKWANJA

Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa