Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo siku ya Jumatano kwa michezo miwili ambapo Manchester United wataumana na Atletico Madrid huko Spain ikiwa ni hatua ya 16 bora na Benifica watawaalika Ajax.

United wamesafiri mpaka Wanda Metropolitano kuendeleza walipoishia kwenye hatua ya makundi baada ya kumaliza hatua hiyo kwa kuwa kinara wa kundi F.

Atletetico Madrid wanakuja kwenye mechi hii wakiwa wametoka kupata ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Osasuna siku ya Jumamosi lakini Mashetani wekundu wakajibu mapigo kwa kuinyuka Leeds United 4-2 hivyo leo tutarajie vita kali sana.

Gemu nyingine ni kati ya Benfica dhidi ya Ajax Benfica walilazimishwa sare ya 2-2 na Boavista Ijumaa usiku, na kupoteza nafasi zaidi katika mbio za ubingwa. Sasa wako nyuma kwa pointi 12 nyuma ya viongozi wa ligi Porto na watahitaji kuwa na kiwango bora zaidi dhidi ya Ajax Jumatano usiku kama wanataka kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa – jambo ambalo hawajafanya tangu 2016.

BASHIRI YAKO UNAWEKA KWA NANI?  WEKA JAMVI HAPA


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa