Mchezaji mpya wa Juventus Dusan Vlahovic ameingia kwenye rekodi za Ligi ya Mabingwa baada ya kufuga goli ndani ya dakika ya kwanza katika mchezo wake wa kwanza wa Champions League dhidi ya Villarreal siku ya Jumanne.

Vlahovic Kwenye Rekodi za Ligi ya Mabingwa

Mchezaji huyo ambaye alisajiliwa wakati wa dirisha la Januari akitokea Fiorentina aliiweka Juve mbele baada ya sekunde 32 katika dimba la El Madrigal baada ya kupokea mpira mrefu uliyopigwa na Danilo.

Vlahovic amekuwa mchezaji wa 3 kufunga ndani ya dakika ya kwanza kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa akifuata nyayo za Andreas Moller dhidi Juventus mwaka 1995 na Ishak Belfodil dhidi ya Man City mwaka 2018.

Pia alikuw mchezaji wa kwanza wa Juventus kufanya hivyo vilevile amekuwa mchezaji wa pili Juventus kufunga ndani ya dakika ya kwanza kwenye UCL baada ya Alessandro Del Piero dhidi ya Man Unite 1997.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa