Friday, September 23, 2022
Nyumbani Championship

Championship

Pan

Pan Kujipima na Rhino Rangers

0
WAKIJIANDAA na mchezo wa pili wa ligi dhidi ya Mashujaa, kikosi cha Pan African kinatarajia kujipima nguvu na Rhino Rangers. Mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kupigwa Septemba 21 mwaka huu kwenye Uwanja wa Vita, mkoani Tabora ambapo Pan wameweka kambi...

QPR Wamtangaza Michael Beale Kuwa Kocha Mpya wa Klabu Hiyo

0
Klabu ya Queens Park Rangers (QPR) wamemtangaza Michael Beale kama kocha mkuu wa klabu hiyo leo siku y jumatano na amesaini mkataba wa kuinoa klabu hiyo wa miaka mitatu. Michael Beale alisema: "Ni vizuri kuwa hapa . Nimekuwa nikitafuta nafasi...
Derby County

Derby County Kupoteza Pointi 15 Msimu Ujao

0
Klabu ya Derby County inatarajia kupoteza tena pointi 15 nsimu ujao ikiwa mmiliki mpya hatalipa madeni yaliopo chini ya sheria ya EFL. Uongozi wa sasa walisema kuwa watachagua wanunuzi walionyesha nia ya kutaka kuinunua klabu hiyo na kuwatangaza wiki jayo...
Fury vs Dillian ni Aprili 23 Ndani ya Wembely Stadium

Fury vs Dillian ni Aprili 23 Ndani ya Wembely Stadium

0
Bingwa mtetezi wa WBC Tyson Fury amemriwa kutetea mkanda wake kwa kukabiliana dhidi ya mpinzani wa lazima Dillian Whyte, huku mpinzani huyo akitia saini kandarasi hiyo mwishoni mwa tarehe ya mwisho. Pambano hilo la mabondio wa uzito mkubwa linatarajiwa kufanyika...
Dundee

Dundee Yafukuza Kocha Wake

0
Klabu inayoshiriki ligi kuu ya Scotland Dundee FC imemfuta kazi kocha wake James McPake baada ya kuwa na matokeo mabovu kwenye ligi hiyo huku timu hiyo ikipambana kutokushuka daraja. James McPake ameitumika klabu ya Dundee miaka nane, awali alisajiriwa kama...
UEFA

UEFA: Kanuni Mpya Kuanza Kutumika Leo

0
UEFA imepitisha sheria ya kufuta faida ya goli la ugenini na kanuni hiyo mpya inatarajiwa kuanza kutumika kwenye michezo ya leo ya kumi 16 bora ambapo timu ya ugenini haitakuwa na faida tena ya goli la ugenini. Shirikisho mpira wa...
Ronaldo

Ronaldo Vilabu vya Uingereza na Amerika ni Ghali Sana

0
Mshambuliaji wa zamani wa taifa la Brazil Ronaldo De Lima alisema kuwa kabla ya kwenda Hispania kununua klabu ya Real Valladolid, alitaka kununua klabu kwenye ligi ya Uingereza Championship na MLS ya Marekani. Ronaldo ametumia karibia miaka 20 kwenye soka...
Reading

Reading Nao Wakatwa pointi 6

0
Klabu ya Reading nayo imekatwa pointi sita kwa kuvunja sheria ya matumizi ya fedha zilizowekwa na shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza. Reading inakuwa klabu ya pili kukubali na kukatwa pointi hizo baada ya Derby County na yenyewe kukatwa...
Derby County

Derby County Kunyang’anywa Pointi 9 Tena

0
Klabu ya Derby County inayoshiriki ligi ya Championship nchini Uingereza imenyang'anywa pointi tisa zingine baada ya awali kunyang'anywa point 12 na kufikia pointi 21 kwa jumla walizonyang'anywa msimu huu. Waraka uliotolewa na klabu ya Derby ni kuwa wamekubali na hawana...

MOST COMMENTED

Golikipa wa Reims Amuomba Messi Picha na Mtoto Wake

0
Mlinda mlango wa Reims Predrag Rajkovic alikuwa wa kwanza kuzuia mipira kwa Lionel Messi akicheza mechi yake ya kwanza ya Paris Saint-Germain tangu asijiliwe...

HOT NEWS