Klabu ya Derby County inatarajia kupoteza tena pointi 15 nsimu ujao ikiwa mmiliki mpya hatalipa madeni yaliopo chini ya sheria ya EFL.

Uongozi wa sasa walisema kuwa watachagua wanunuzi walionyesha nia ya kutaka kuinunua klabu hiyo na kuwatangaza wiki jayo ikiwezekana. Inasemekana kuna watu watano ambao wameonyesha nia ya kutaka kuinunua klabu hiyo yenye changamoto, ambayo iko chini ya Wayne Rooney.

Derby County

Derby County kwa sasa iko chini ya msimamo wa ligi ya Championship, huku wakibakiwa na michezo saba ambapo wakifanikikwa kushinda michezo yote watajikusanyia alama 21, ambazo ni sawa na alama walizokatwa msimu huu kwa kuvunja kanuni za fedha.

Kukatwa kwa alama 15 kutawaathili zaidi Derby msimu ujao kuliko huu ambao wanakwenda kumaliza. Rooney amefanya kazi kubwa kuweza kurudisha morale ya wachezaji uwanjani, na matumaini kwa klabu hiyo na kubaki kuwa moja ya klabu shindani mpaka sasa.

Ikiwa watapoteza alama 15, kwenye League One msimu ujao basi itawapunguzia nafasi ya kurudi kwenye ligi ya Championship kwa msimu ujao au wakifanikiwa kubaki Championship itakuwa ngumu kuweza kupanda ligi kuu.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa