Makala nyingine

Kikosi cha Pan African kinatarajia kushuka dimbani kesho jumamosi kumenyana na Gwambina kwenye mchezo wa ligi ya Championship. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Mej. Generali Isamuhyo. Timu hizo …

Kiungo wa zamani na aliewahi kua kocha wa muda wa Man United Michael Carrick amechaguliwa kua kocha wa klabu ya Middlesbrough inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Uingereza.Gwiji huyo wa …

Kocha wa klabu ya Queens Park Rangers Michael Beale amekubali kuinoa klabu ya Wolverhampton Wanderers baada ya kufikiana makubalino ya pande zote. Wolverhampton Wanderers baada ya kuachana na kocha wake …

Nottingham Forest imewafuta kazi wafanyikazi wawili ambao walihusika sana katika usajili wa msimu wa joto ambao ulishuhudia wachezaji 22 wakijiunga na klabu, huku wakiwa wamekaa kwenye eneo la kushushwa daraja. …

Pan Yaipania Mashujaa

UONGOZI wa klabu ya Pan African umefunguka kuwa mipango yao ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mashujaa. Timu hizo zinakutana zikiwa zinafanana kwa pointi kila mmoja …

Baada ya kumtambulisha George Semwogerere kuwa kocha mkuu, Uongozi wa Pamba umesema kuwa una matarajio makubwa na Kocha huyo katika mashindano ya Championship ili kuweza kufikisha malengo ya kuweza kupandisha …

WAKIJIANDAA na mchezo wa pili wa ligi dhidi ya Mashujaa, kikosi cha Pan African kinatarajia kujipima nguvu na Rhino Rangers. Mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kupigwa Septemba 21 mwaka huu …

Chama cha soka nchini Uingereza FA kimetangaza sheria mpya ambazo zinakwenda kulinda urithi wa klabu zake zote nchini humo ambapo sheria hizo zitatumika kwenye “premier League, EFL, National League [national …

Mchezaji wa zamani na Manchester United na kocha wa Derby County Wayne Rooney ameachana na klabu hiyo leo, waraka wa klabu umethibitisha hilo. Waraka wa Derby County ulisomeka “Wayne Rooney …

Todd Boehly na washirika wamemilikishwa rasmi klabu ya chelsea baada ya kukamilisha hatua zote ambazo serikali na bodi ya ligi waliziweka ili kuweza kuinunua klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya …

1 2 3 4