Kulingana na ripoti nchini Uingereza KIabu ya Chelsea FC iko tayari kupeleka ofa ya £135m kwa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland msimu huu wa joto.

Tovuti 90Min inaripoti kuwa Chelsea wako tayari kuimarisha masilahi yao kwa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Norway na ofa kubwa ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Dortmund.

Ripoti hiyo, inaendelea kufafanua kwamba Dortmund wanatarajiwa kukataa ofa hiyo kwa sababu timu ya Bundesliga inataka ada ya uhamisho kuanzia dau la pauni milioni 150 kwa fowadi huyo wa Norway.

Chelsea FC wanakubali kwamba pia watalazimika kulipa ada kubwa ya wakala kwa Mino Raiola na Alfe Inge Haaland msimu huu wa joto, kulingana na ripoti hiyo.

Haaland ilifunga mabao 27 katika michezo 28 kwenye ligi ya Bundesliga msimu uliopita kuisaidia Dortmund kumaliza katika nne bora.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa