Chelsea wanaripotiwa kuwa wanafikiria mbinu ya kumnasa mlinzi wa kati wa Juventus Matthijs de Ligt, baada ya kushindwa kumpata Jules Kounde wa Sevilla.

Chelsea walikuwa na nia ya kumsajili mlinzi wa kati wakati msimu wa kiangazi, na Kounde aliaminika kuwa ndiye lengo lao kuu wakati huo, hata hivyo walishindwa kufikia dau la Mfaransa huyo la pauni milioni 68.

Jicho la Chelsea ni kwa Matthijs de Ligt
Matthijs de Ligt

Kwa mujibu wa Calciomercato, safu ya Thomas Tuchel wanatamani kuipata huduma ya De Ligt na sasa wamemuweka staa huyu wa miaka 22 kwenye orodha yao.

De Ligt, ambaye alijiunga na Juventus mnamo 2019 akitokea Ajax, amecheza mechi 80 kwenye mashindano yote kwa miamba ya Serie A na pia ameshiriki mara 31 kwa timu ya kitaifa ya Uholanzi.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa