Klabu ya Chelsea inaripotiwa kujiandaa kuwajaribu Inter Milan kwa dau kubwa la pauni milioni 110 kuipata saini ya Romelu Lukaku.

Licha ya kutumia pesa nyingi kupata saini za Timo Werner na Kai Havertz katika msimu wa joto wa 2020, Chelsea anadhaniwa  anataka kuongeza maboresho katika safu yake ya kati kwa msimu ujao.

Erling Braut Haaland wa Borussia Dortmund ndiye aliyetajwa kwa mda sasa kama lengo kuu la The Blues, lakini Chelsea inakumbana na changamoto ya suala la bei iliyokadiriwa kuwa Pauni 149 wakati huu.

Lukaku to Chelsea?

Lukaku amedhibitisha mara kadhaa kwamba hafikirii kuondoka Inter, lakini kwa mujibu wa vyanzo vya Italia, Chelsea wapo tayari kujaribu kuwashawishi Inter kwa zabuni ya pauni milioni 110.

Ripoti zinabainisha kuwa bado hakuna ofa ilizopokelewa kwa Inter, lakini kutokana na hali ya kifedha ya klabu inawezekana wakashawishika kumuachia Lukaku, ambaye alifunga mabao 24 na kutoa asisti 10 Serie A msimu uliopita.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa