Ben Chilwell amepanga kuiambia klabu yake ya Leicester City wiki hii kwamba anataka kujiunga na Chelsea. Kocha wa The Blues, Frank Lampard anatamani kumuongezea Chilwell kwenye beki yake ya kushoto kwenye kikosi chake kuelekea msimu mpya wa PL.

Chilwell Mguu Nje Mguu Ndani Leicester City, Chilwell Mguu Nje Mguu Ndani Leicester City, Meridianbet

Chilwell, 23, amekuwa Leicester tangu akiwa na umri wa miaka 12 na yuko chini ya mkataba hadi 2024. Lakini sasa anatarajiwa kufanya mazungumzo na Klabu yake ili aweze kujiunga na Chelsea ambayo imefanya Muingereza huyo kuwa chaguo la Kwanza.

Uamuzi wake sio tu kwamba Leicester imemaliza nafasi ya tano na kukosa nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa nyuma ya Chelsea iliyo nafasi ya nne. Kusudi lake ni kuhama na kwenda ambapo anajikuta akicheza kwa miaka mitano hadi sita ijayo katika kikosi cha kwanza.

Chilwell Mguu Nje Mguu Ndani Leicester City, Chilwell Mguu Nje Mguu Ndani Leicester City, Meridianbet

Chilwell alikosa mechi tano za mwisho za Leicester akiwa na jeraha la mguu na nafasi yake alichukua Nyota wa England U19, Luke Thomas kwenye michezo mitatu iliyopita.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

32 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa