Aliyekuwa nyota wa Tottenham, Christian Eriksen  ameweka wazi kuwa hataki tena kuendelea kukaa benchi katika timu yake ya sasa ya Inter Milan.

Christian Eriksen alikamilisha uhamisho wake kutoa Tottenham kwenda Inter mapema mwezi Januari, na tangia hapo hajakuwa akipewa namba kikosini mara kwa mara. Suala hili limekuwa likimvunja moyo sana na ameamua kufunguka juu ya kile anachokitarajia msimu huu.

Katika mkurano na waandishi wa habari Eriksen amesema kuwa kwa msimu huu hatarajii kuwepo nje ya uwanja msimu mzima, na sio kitu ambacho anakitaka, na anaamini kuwa siyo kitu ambacho klabu ingekitaka

Christian Eriksen : Sitaki Kukaa Benchi
“Kuna matarajio makuibwa dhidi yangu, watu walidhani ningefanya tofauti katika kila gemu, lakini haikuwa hivyo. Hivyo wananiangalia kwa jicho tofauti” -Christian Eriksen

Baadhi ya ripoti kutoka Itlia zinasema kuwa nyota huyu aliikataa nafasi ya kuhamia Bundesliga baada ya kukataa dili la mkopo kwenda Borusia Dortmund. Lakini Ericksen mwenyewe anasema haelewi ukweli ni upi katika hilo kwa kuwa hakuzungumza kitu chochote na wakala wake.


 

Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

32 MAONI

  1. Nikweli anacho kisema kiungo huyo kusugua benchi mudi inashuka yakimpila wamfikilie nae awe anapangwa kwenye kikosi

  2. Alikuwa na matarajio makubwa kwa bahati mbaya amekutana na ushindani wa namba, hana chaguo zaidi ya kupigania nafasi ya kucheza#meridianbettz

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa