Kiungo alieitumikia klabu ya Real Madrid kwa mafanikio makubwa na kudumu hapo kwa takribani miaka tisa Carlos Casemiro ameagwa rasmi jana jumatatu. Katika ghafla hiyo ya kumuaga nyota huyo wa …
Makala nyingine
Kiungo anayemaliza muda wake kunako Manchester United, Nemanja Matic amefikia makubaliano ya kuungana na Jose Mourinho huko AS Roma 🇮🇹 kwa mkataba mpaka Juni 2023 ambao upo ukingoni kusainiwa. Matic …
Kipa wa zamani wa klabu ya Chelsea Petr Cech ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa ufundi ameelezea jinsi ilivyokuwa ngumu kwa Thomas Tuchel kuamua ni kipa gani acheze mchezo wa …