Mwanzoni mwa wikii hii vichwa vya habari vilitawaliwa na kufunguliwa na kurudi kwa ligi ya Ujerumani, lakini upande wa Masumbwi nako hakukua kimya baada ya mbabe wa masumbwi Conor McGregor’s kusema pambano lake na Myweather halikwepeki,

Maswali ya wengi ni je, tunataka kuona pambano la MacGregor na Mayweather litakuepo? je watapigana kweli? wapi? mimi na wewe hatujui ila MacGregor ana amini kua hilo linawezekana .

, Conor McGregor: Pambano Langu na Mayweather Litarudiwa, Meridianbet

Baada ya kupata sifa na maelekezo ya kutosha kutoka kwa mkongwe wa masumbwi aliyetamba miaka ya 90 na 2000 Mike Tyson, Nyota huyo wa UFC kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema ipo haja ya kurudia pambano hilo na pambano hilo haliepukiki na safari hii litakua na utofauti.

, Conor McGregor: Pambano Langu na Mayweather Litarudiwa, Meridianbet

Iwe linawezekana au haliwezekani, wanamasumbwi hawa ni maarufu kiasi cha kuweza kushawishi hilo pambano lifanyike, au kuvutia pambano lingine kubwa zaidi kufanyika katika siku zijazo.

Hata kama wapenzi wa masumbwi hawata taka kuliona pambano hili, itafikia kipindi watalitaka, wataliona na kulifatilia kutokana na ushawishi walio nao wapiganaji hawa.

44 MAONI

  1. Safi sana Mike Tyson, kwa kugundua kuwa hawa jamaa bado wananafasi ya kutunishana tena misuli ili wapenzi wa ndondi tupate tena Burudani< Mimi hapa ni timu Mayweather-Money Flow.

  2. mnanikosha sana meridian maana nilikuwa sijalio a hili pambano meridian mnajua kuwajali wateja wenu kwan ni jambo jema#meridianbettz

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa