Meneja wa zamani wa Juventus Antonio Conte anasema kuwa alianzia sifuri kuijenga timu yake katika hali ya kushinda, kitu ambacho pia anakifanya akiwa Inter Milan.

Inter wapo nafasi ya kwanza ya msimamo wa ligi kwa tofauti ya pointi 10 licha ya kutoa sare mfululizo dhidi ya Napoli na Spezia.

Conte alirejesha njaa ya ushindi wa mataji akiwa na Juventus, na sasa anasaka kumaliza ukame wa mataji Inter Milan baada ya miaka 11.

Kuhusu hatma yake Inter, Conte amesema hakuna mtu anafahamu kuhusu kesho. Isipokuwa kuhusu suala la kutengeneza na kuhamasisha hali ya ushindi Inter amesema:

“Kwa suala la kutengeneza saikolojia ya ushindi, tulikuwa tunaanzia ziro pale Juventus, hivyo hii siyo mara ya kwanza. Ukiachana na mawazo, kitu ambacho kocha anakihitaji zaidi ni kutafuta wachezaji ambao wanajitoa kujipa changamoto na kufanya kitu kipya” -Antonio Conte

 


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Conte, Conte: Ninafanya Kama Nilivyofanya Juventus, Meridianbet

CHEZA HAPA

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa