Nyumbani Copa del Rey

Copa del Rey

Barcelona Haina Haraka ya Kumuongeza Mkataba Ansu Fati

Barcelona Haina Haraka ya Kumuongeza Mkataba Ansu Fati

0
Mkataba wa sasa wa Ansu Fati na Barcelona unaendelea hadi 2022, lakini klabu haina haraka ya kuongeza mkataba wake kwani wameweka kipaumbele katika kuweka saini usajili mpya katika wiki chache zilizopita. Mazungumzo kati ya pande hizo mbili juu ya uwezekano...
Barcelona Hawataki Kusubiri Juu ya Mkataba Mpya kwa Messi

Barcelona Hawataki Kusubiri Juu ya Mkataba Mpya kwa Messi

3
Barcelona wamempa ofa ya mkataba mpya Lionel Messi, na mkataba wake wa sasa Camp Nou unamalizika Juni 30. Klabu hiyo ya Kikatalani imeamua kutosubiri matokeo ya ukaguzi ambao Joan Laporta aliagiza wakati anaingia madarakani na amewasilisha ofa kwa Messi. Hii ni...
Laporta: Tutafanya Mabadiliko Kuanzia Wiki Ijayo

Laporta: Tutafanya Mabadiliko Kuanzia Wiki Ijayo

0
Joan Laporta Rais mpya wa Barcelona ameiambia Festa de L'Esport Catala gala kwamba "mzunguko umeisha tunaingia kwenye mchakato wa mabadiliko" Laporta alichaguliwa kama rais wa klabu kwa mara ya pili Machi iliyopita baada ya Josep Maria Bartomeu kujiuzulu kwa aibu...
Laporta Anaimani Messi Atabaki Barcelona

Laporta Anaimani Messi Atabaki Barcelona

4
Raisi mpya wa Barcelona Joan Laporta "anashawishika" kusema Lionel Messi atasaini mkataba wa kuendelea kukaa na miamba hao LaLiga. Messi yupo nje ya mkataba mwisho wa msimu huu na mchezaji huyo wa miaka 33 na hatima ya nyota huyo wa...
Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

3
Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...
Ramos: Messi Ameinyima Real Madrid Mataji Mengi.

Ramos: Messi Ameinyima Real Madrid Mataji Mengi.

3
Sergio Ramos amekiri kwamba Lionel Messi amefanya Real Madrid wapate tabu kwa miaka mingi akiwa na Nahodha huyo wa The Blancos ametoa ya maoyoni kwamba Madrid ingeshinda mataji mengi kama nyota huyo wa Argentina asingekuwa Barcelona. Mlinzi huyo wa muda...

Messi Aipita Rekodi ya Xavi Ndani ya Barcelona

9
Lionel Messi ameweka rekodi mpya klabuni Barcelona, ​​baada ya kucheza mara yake ya 768 kwa miamba hiyo ya Uhispania. Messi alifanana na mchezaji mwenzake wa zamani na gwiji mwenzake wa Blaugrana Xavi wakati alicheza dhidi ya Huesca Jumatatu iliyopita, kumpeleka...

Neymar Atacheza Tena na Messi Barcelona – Cury

8
Neymar Jr ataungana tena na Lionel Messi huko Camp Nou hii ni kwa mujibu wa wakala wa zamani wa Kibrazil na skauti wa zamani wa Barcelona Andre Cury. Cury alitumia muda wa miaka 10 kufanya kazi na Barcelona akiwa kama...

Athletic Bilbao Kwenye Rekodi Mpya Copa del Rey

9
Athletic Bilbao watashiriki fainali mbili za Copa del Rey ndani ya wiki mbili baada ya kuiondoa Levante siku ya Alhamisi. Athletic ilifunga Levante 2-1 katika muda wa nyongeza nawanaenda kukutana na Barcelona ambao waliiondoa Sevilla kwa jumla ya mbao 3-2...

Barcelona Yapindua Meza Kibabe Copa del Rey

9
Barcelona imepindua mabao ya 2-0 waliyofungwa katika mchezo wa kwanza dhidi ya Sevilla katika mashindano ya Copa del Rey na kushinda mabao 3-0 mchezo wa marudiano katika kukamilisha nusu fainali. Martin Braithwaite alifunga bao ambaloliliamua, kwa kichwa cha mbizi mapema...

MOST COMMENTED

Mata Apata Ulaji Tena!

0
Nyota na mchezaji wa klabu ya Manchester United, Juan Mata amemwaga wino ndani ya klabu yake hiyo huku akiwa na uwezekano mrefu zaidi wa...

HOT NEWS