Getafe Imemfuta Kazi Michael

Hispania, klabu ya Getafe imemfuta kazi kocha wake mkuu Michael baada ya matokeo mabovu waliyoyapata.

Getafe waliweza kujipatia pointi moja kwa mara ya kwanza  kwenye msimu wa 2021/22  jumapili iliyopita baada ya kupata sare nyumbani na Real Sociedad ambao wanashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wakiwa na pointi 17 sawa na kinara Real Madrid na Atletico Madrid wakiwa wamepishana magoli ya kufunga na kufungwa.

Michel

Pointi moja aliyoweza vuna kutoka kwa Real sociedad hakuweza kuokoa kibarua chake, ili aisifungashiwe virago vyake kiuongo wa zamani wa Real Madrid ambaye alipewa mikoba ya kuinoa timu hiyo mwezi mei.

Azulones amekusanya pointi moja tu kwenye michezo nane huku akiruhusu nyavu zake ziingiliwe mara 13 na yeye akiingia kwenye nyavu za mara 3 tu.

Michael anakuwa kocha wapili kufungushiwa virago kwenye ligi kuu ya Hispania la liga baada ya Levante nayo kumuonesha njia na kumfungashia virago vyake.

Levante wapo nafasi ya 18 wakiwa wamepoteza michezo mitatu na kukusanya pointi 4, wakianza msimu pasipo kushinda mchezo wowote msimu wa 2021/22.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe