Monday, June 20, 2022
Nyumbani Copa libertadores

Copa libertadores

Marcelo

Marcelo Mchezaji Aliyebeba Makombe Mengi Real Madrid

0
Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Brazili anayekipiga kwenye klabu ya Real Madrid  Marcelo amefanikiwa kuingi kwenye kumbukumbu za klabu hiyo ya kuwa mchezaji aliyefanikiwa kubebe mataji mengi kuliko mchezaji yeyote ndani ya klabu hiyo. Marcelo mwenye umri wa miaka 33...

Ronaldo Kuinunua Klabu ya Cruzeiro kwa R$400 million

0
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo siku ya Jumamosi alikuwa kwenye mazungumzo na klabu ya Cruzeiro klabu yake ya kwanza kucheza mpira wa kulipwa kuhitaji kuinunua. Ronaldo ambaye alianza kucheza kwenye timu ya kikosi cha kwanza...
Palmeiras

Palmeiras Yatinga Fainali ya Copa Libertadores

0
Mshindi wa Copa Libertadores, Palmeiras imetinga fainali baada ya kutoka sare ya 1-1 na timu ya kutoka Brazili Atletico Mineiro kwenye hatua ya nusu fainali, huku faida ya goli la ugenini likiwavusha. Palmeiras wamepita baada ya mechi ya pili kutoka...

MOST COMMENTED

Mazungumzo ya Garcia na Barcelona Yapiga Hatua

19
Barcelona na Eric Garcia wamekuwa wakiendelea na mazungumzo. Wakiwa na nia ya kufikia makubaliano ambayo yatawawezesha Barca kumsajili kwa mara nyingine staa huyu wa...
Kama Hukuwa Ukijua…

Kama Hukuwa Ukijua…

HOT NEWS