Nyumbani Coppa Italia

Coppa Italia

Ronaldo

Ndoa ya Ronaldo na Juve Itavunjika Baada ya Euro Kumalizika

2
Niwakumbushe tu kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuondoka Juventus, atatoa tamko rasmi baada ya EURO Moja wapo ya sababu ni kuwa anahitaji timu inayoshinda, sio kushinda mechi na kuwa nafasi ya pili kama Man U au kuwa mshindi wa pili EUROPA,...
maldini

PAOLO MALDINI; Jembe Lililo zaliwa na Kuhudumu Milan

1
Kwanza baba yake Cesare Maldini, au ukipenda muite Maldini Senior alikuwa mchezaji bora ligi kuu ya Italy miaka ya 60. Nadharia inasema wachezaji bora hawazai wachezaji bora. Ni wachache sana wamefanikiwa, kama 'the great Mazinho' baba mzazi wa Thiago Alcantara...
Juventus wabeba Copa Italia

Juventus Yabeba Copa Italia Kwa Mara Ya 14

2
Timu ya Juventus imefanikiwa kubeba kombe la Coppa Italia kwa mara ya 14 sasa baada ya ushinda wa 2-1 dhidi ya Atalanta hapo jana. Katika mechi iliyoonekana kuwa na usawa huku timu zote zikishambulia kwa wakati tofauti tofauti, Mabingwa wa...

MOST COMMENTED

‘Arsenal Wasingetumia £72m kwa Pepe’

44
Winga huyu wa zamani wa Lile amekuwa na msimu mgumu kwenye Ligi ya Primia. Msimu ambao kwa Nicholas Pepe ndiyo msimu wa kwanza kwa...

HOT NEWS