Chennai Super King Tayari Wamefuzu Fainali ya IPL

Ligi ya kriketi nchini India (IPL) inaelekea ukingoni na timu ya Chennai Super King tayari imekata tiketi ya kucheza fainali baada ya kuiburuza kwa wicket nne timu ya Delhi Capitals.

Chennai Super King Tayari Wamefuzu Fainali ya IPL

Delhi watakuwa na nafasi nyingine ya kufuzu fainali na sasa watakuwa wanamsubiri mshindi wa mechi ya Jumatatu kati ya Royal Challengers Bangalore dhidi ya Kolkata Knight Riders ambayo ni Eliminator katika mtoano wa pili.

Hii inakuwa mara ya tisa kwa Chennai Super King kufika fainali na fainali hizo zitafanyika katika uwanja wa kimataifa wa kriketi wa DubaiIjumaa hii Oktoba 15.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe