Baada ya New Zealand kukatisha ziara yao ya kwenda Pakistan sababu ya kile kilichoitwa “Thahadhari ya usalama” sasa England pia wametangaza kutoziruhusu timu zao kwenda nchini humo Bodi ya Kriketi ya Engalnd na Wales imethibitisha.

England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan

Uamuzi huo ulisababisha mshtuko nchini Pakistan, ambao mashabiki wao wametumia miaka 12 iliyopita bila kriketi ya kimataifa kutazama nyumbani, kufuatia shambulio la basi la timu ya Sri Lanka huko Lahore mwaka 2009. Pakistan wamecheza mechi zao za nyumbani huko UAE huko wakati huo, ingawa timu za kimataifa zimekuwa zikirudi polepole.

ECB ilisema siku ya Ijumaa kwamba itafanya maamuzi kwa muda wa masaa 24-48 kwaajili ya ziara hiyo , Timu ya wanawake na wanaume walikuwa wacheze T20 double-headers huko Rawalpindi mwezi Oktoba 13 na 14 na timu ya wanawake ilipanga kukaa nchini humo kwaajili ya kucheza ODIs wakati wanaume walikwenda UAE for kwaajili T20 World Cup.

Na Ingekuwa ni mara ya kwanza kwa timu ya wanaume kutembelea Pakistan kwa mara ya kwanza tangu 2005 na mara ya kwanza kabisa kwa Wanawake.

Unaweza kuendelea kubashiri HAPA Indian Premier League LIVE


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa