Chennai Super King Tayari Wamefuzu Fainali ya IPL
Ligi ya kriketi nchini India (IPL) inaelekea ukingoni na timu ya Chennai Super King tayari imekata tiketi ya kucheza fainali baada ya kuiburuza kwa wicket nne timu ya Delhi Capitals.
Delhi watakuwa na nafasi nyingine ya kufuzu fainali na sasa...
Ben Stokes Kuikosa Michuano ya Ashes
Ben Stokes amefanyiwa upasuaji wa pili wa kidole cha kushoto lakini hataraji kuwepo kwenye kikosi cha Uingereza kitakacho cheza mchezo wa Ashes dhidi ya Australia kwenye majira ya baridi.
Ben mwenye umri wa miaka 30, alikuwa nje kwenye mchezo wa...
Sharma Adai Ushindi Dhidi ya Uingereza Kwenye Test Series
Rohit Sharma nyota wa India amezua taharuki baada ya kudai kuwa inchi yake imeshinda kwenye Test Series ya hivi karibuni ambayo iliahirishwa kabla mechi ya fainali kuchezwa kutokana na baadhi wa wachezaji kukutwa na uviko-19
India na Uingereza bado zinajidiliana...
ECB Kuamua Hatma ya Ashes Wiki Hii
England cricket board (ECB) kukutana na kuamua hatma ya Ashes wiki hii kama watendelea na Series kama ilivyopangwa baada ya mazungumzo na Cricket Australia.
Uingereza wanajiandaa kusafiri kwenda Australia majira ya baridi, wakiwa na michezo mitano ya Test Series iliyopangwa...
Uchambuzi IPL: Kolkata Knight Rider vs Punjab Kings
Mechi ya 45 ya Indian Premier League (IPL) 2021 inawakutanisha Kolkata Knight Rider (KKR) wanaopambana na Punjab Kings (PBKS) kwenye Uwanja wa Dubai International Stadium huko Dubai siku ya Ijumaa.
Kolkata Knight Riders wamekuwa mahiri katika nusu ya pili ya...
IPL 2021: Pollard Ashangalia Kupata Wicket 300
IPL 2021; Mchezaji wa West Indies Kieron Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya mashindano ya T20 kushinda wicket 300.
Pollard amekuwa mchezaji wa kwanza kuweka historia kwenye mchezo wa kriketi, kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mikimbio 10,000 na...
Usman Khawaja: Amezikosoa Uingereza na New Zealand kwa kjiondoa Pakistani Tour
Australia batter, Usman Khawaja ameikosa uingereza na New Zealand kujitoa kwenye michezo ya Pakistani.
Usman mzaliwa wa Pakistani aliongezea kuwa anaamini maamuzi ya namna hiyo yasingechukuliwa kama michezo hiyo ingekuwa inafanyika India.
New Zealand wameondoa wachezaji wao kwa sababu ya usalama,...
England Yaondoa Timu Zake Katika Safari ya Pakistan
Baada ya New Zealand kukatisha ziara yao ya kwenda Pakistan sababu ya kile kilichoitwa "Thahadhari ya usalama" sasa England pia wametangaza kutoziruhusu timu zao kwenda nchini humo Bodi ya Kriketi ya Engalnd na Wales imethibitisha.
Uamuzi huo ulisababisha mshtuko nchini...
‘The Long Wait Is Over’ IPL Kuanza Rasmi Jumapili Hii
Ligi ya IPL iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mchezo wa Kriketi hatimaye inaenda kuanza siku ya Jumapili Septemba 19 2021 ambapo timu 31 zitachuana vikali kwa muda wa siku 21 huku kukiwa na doubleheader 10, single headers...
IPL 2021, Pant Kuendelea Kuiongoza Capitals
Kuelekea msimu mpya wa IPL 2021, nahodha wa Delhi Capitals - Rishabh Pant, ataendelea kuingoza timu hiyo licha ya Shreyas Iyer kurejea kikosini.
Pant alichukua majukumu ya nahodha wa timu hiyo (Iyer) baada ya mchezaji huyo kupata majeraha ya bega....